Katibu Mkuu TAMISEMI 'amfunga breki' DC Polepole

VUTA-NKUVUTE

JF-Expert Member
Nov 25, 2010
6,135
17,802
Katibu Mkuu,Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali ya Mitaa,Mhandisi Mussa Iyombe amemwagiza Mkuu wa Wilaya ya Ubungo Humphrey Polepole kuacha utaratibu wa wafanyabiashara wa Soko la Ndizi Mabibo uendelee.

Katibu Mkuu Iyombe ametoa agizo hilo jioni ya leo alipokutana na wawakilishi wa wafanyabiashara wa soko hilo ofisini kwake. Akitoa agizo hilo kupitia kwa Mkurugenzi wa Halmashauri ya Ubungo,Katibu Mkuu Iyombe ametaka utaratibu wa kukusanya ushuru na ulipaji kodi uliokuwepo uendelee.

Katibu Mkuu Iyombe amesema kuwa kama kutakuwa na haja ya mabadiliko au maboresho yoyote,wafanyabiashara wahusishwe. DC Polepole 'alilichukua kimabavu' soko la Mabibo na kuanza kukusanya mapato sokoni hapo kupitia watumishi wa Halmashauri bila kujali uwepo wa Kampuni ya Majimoto ya wafanyabiashara hao iliyopangishwa eneo hilo na Kiwanda cha Urafiki,mmiliki wa eneo husika.

Mzee Tupatupa wa Lumumba,Dar es Salaam
 
Ndio maana Hamphrey Polepole alitoa maoni mazuri sana katika makongamano ya Rasimu ya Warioba kuwa Wakuu wa Mikoa na Wilaya hawana kazi. Hivi vyeo vifute. Kwa nini Raisi wetu mpendwa hataki kufuata ushauri wa HampreyPolepole?
 
Duuuuh bila shaka POLEPOLE atakuwa bilionea mda si mrefu .
 
Nchi hii imekuwa kama shule kila mwalimu anafundisha somo lake kwa wanafunzi wale wale na lengo ni moja tu kufaulisha mitihani na sio kumjenga mwanafunzi kuelewa somo husika
 
walishaambiwa hakutegemea kuteuliwa na wala hawakuzunguka nchi nzima kuomba kura
 
utawala uliofitinika miluzi mingi humchanganya mbwa ndio kinachotokea ha ha ha no rule of order kila mtu matamko makatazo majigambo wanadhani nchi ni kichaka unatawala utakavyo sasa hao wawakilishi wa mkulu waliogawanywa na kupewa maagizo mkanganyo wanajisikiaje si ni kama wapuzi sasa kata 20 tu tayari hongo na kuvurugaa utaratibu halafu wanajifaanya sisi watanzania hatuelewi upuuzi sana aisee
 
Kata Ishirini Zinaitoa Jasho CCM...
 
Kwani hao wafanyibiashara wanakusanya hayo mapato kwa niaba ya halimashauri?Kama sio Katibu haoni kwamba anaikosesha halimashauri mapato?Na hata kama hao wafanyibiashara wanakusanya mapato kwa niaba ya serikali labda DC kaona kuna ujuaji.Dah,pole zake Humphrey,siasa ni ngumu sana.Kiutendaji hii inakatisha tamaa sana.Humprey aachie ngazi tu,hatawezana na waswahili hao.
Katibu Mkuu,Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali ya Mitaa,Mhandisi Mussa Iyombe amemwagiza Mkuu wa Wilaya ya Ubungo Humphrey Polepole kuacha utaratibu wa wafanyabiashara wa Soko la Ndizi Mabibo uendelee.

Katibu Mkuu Iyombe ametoa agizo hilo jioni ya leo alipokutana na wawakilishi wa wafanyabiashara wa soko hilo ofisini kwake. Akitoa agizo hilo kupitia kwa Mkurugenzi wa Halmashauri ya Ubungo,Katibu Mkuu Iyombe ametaka utaratibu wa kukusanya ushuru na ulipaji kodi uliokuwepo uendelee.

Katibu Mkuu Iyombe amesema kuwa kama kutakuwa na haja ya mabadiliko au maboresho yoyote,wafanyabiashara wahusishwe. DC Polepole 'alilichukua kimabavu' soko la Mabibo na kuanza kukusanya mapato sokoni hapo kupitia watumishi wa Halmashauri bila kujali uwepo wa Kampuni ya Majimoto ya wafanyabiashara hao iliyopangishwa eneo hilo na Kiwanda cha Urafiki,mmiliki wa eneo husika.

Mzee Tupatupa wa Lumumba,Dar es Salaam
 
Kwani hao wafanyibiashara wanakusanya hayo mapato kwa niaba ya halimashauri?Kama sio Katibu haoni kwamba anaikosesha halimashauri mapato?Na hata kama hao wafanyibiashara wanakusanya mapato kwa niaba ya serikali labda DC kaona kuna ujuaji.Dah,pole zake Humphrey,siasa ni ngumu sana.Kiutendaji hii inakatisha tamaa sana.Humprey aachie ngazi tu,hatawezana na waswahili hao.
Polepole amepata pigo la Mwenyezzi Mungu kwa usaliti wake amekaa na mkuu wa mkoa anayemuogopa asije akapewa yeye ukuu wa mkoa kwa sababu kichwani mwake hana mipango sasa wanamkandamiza amebaki kulalama facebook wanajifaanya hawaoni hilo ndilo tunda la kusaliti wananchi na kutukana watu wazima bado kufa tu kwa sasa ni very irrelevant hawezi hata sema kitu channel ten watu wakamsikiliza
 
Katibu Mkuu,Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali ya Mitaa,Mhandisi Mussa Iyombe amemwagiza Mkuu wa Wilaya ya Ubungo Humphrey Polepole kuacha utaratibu wa wafanyabiashara wa Soko la Ndizi Mabibo uendelee.

Katibu Mkuu Iyombe ametoa agizo hilo jioni ya leo alipokutana na wawakilishi wa wafanyabiashara wa soko hilo ofisini kwake. Akitoa agizo hilo kupitia kwa Mkurugenzi wa Halmashauri ya Ubungo,Katibu Mkuu Iyombe ametaka utaratibu wa kukusanya ushuru na ulipaji kodi uliokuwepo uendelee.

Katibu Mkuu Iyombe amesema kuwa kama kutakuwa na haja ya mabadiliko au maboresho yoyote,wafanyabiashara wahusishwe. DC Polepole 'alilichukua kimabavu' soko la Mabibo na kuanza kukusanya mapato sokoni hapo kupitia watumishi wa Halmashauri bila kujali uwepo wa Kampuni ya Majimoto ya wafanyabiashara hao iliyopangishwa eneo hilo na Kiwanda cha Urafiki,mmiliki wa eneo husika.

Mzee Tupatupa wa Lumumba,Dar es Salaam

Yaani Polepole ndiye kapotea stepu namna hiyo!! Mwendo wa mdundo wa kuporomoka kisiasa actually siasa haimfai kabisa kafanye shuhuli za fani yake.
 
Kule kwetu musoma alikosa kazi ya kufanya akawa anakimbizana na wakokosi (wavuvi) alama za nyakati zikatumika u dc si kazi ni propaganda tu
 
Atawaita wakuu wa mikoa na wilaya halafu atawaagiza wakafanye kazi vile waonavyo kuwa inafaa, na yeye anawapa support ya 100%, akitokea mtu wa kuwazuia wamwambie yeye (raid) ndiye aliyewatuma, hivyo mtu Huyo akamuulize rais.
Mimi nahisi labda wakati anatoa matamko anakua hajaambiwa au hajui kuwa anasikika au yatarushwa ili kusikika nchi nzima.
 
Back
Top Bottom