Katibu Mkuu Mpya Wa U.W.T Taifa Bi. Philis Nyimbi leo amekabidhiwa rasmi Ofisi na aliyekuwa Mtangulizi wake

Uzalendo wa Kitanzania

JF-Expert Member
Mar 8, 2020
2,204
4,692
Bi Queen M. Mlozi aliyekuwa Katibu Mkuu wa Umoja wa Wanawake Tanzania ( UWT) amekabidhi rasmi Ofisi kwa Katibu Mkuu Mpya Wa Umoja huo Bi Philis M. Nyimbi

Hafla ya makabidhiano hayo imefanyika leo Alhamisi Agosti 05, 2021 kwenye makao makuu ya UWT Jijini Dodoma

FB_IMG_16281830699387492.jpg


FB_IMG_16281830984191550.jpg


FB_IMG_16281830826280550.jpg


FB_IMG_16281830780819951.jpg
 
Wajibu wake ni UPI?
Kwa nini hachaguliwi na wanaumoja?
Wanachama wana kadi?
Kwanini ofisi iwe CCM wakati unaakisi umoja wa wanawake taifa?
Umoja una katiba?
 
Back
Top Bottom