Katibu Mkuu, Kinana na timu yake watua katika Jimbo la Mwigulu Nchemba, ahutubia umati wa watu.

Janga la taifa kwa mawazo yako.

Wimbo wa ndovu umeishapitwa na wakati. Tafuteni wimbo mwingine.

Ninyi mnafahamu vizuri kuongea, CCM tunatenda.

Karibu kwenye mkutano ujionee upendo na amani iliyoko ndani ya CCM.

Mchua tumbo, tumbo lako mateso yetu, maria kishasema nchi inayumba
 
Kwa hatia hii ukawa na washirika wao wakusanye virago vyao mapema kabisa hawana chao kwa majimbo yote ya tanzania.

attachment.php
 
Mheshimiwa Mwenyekiti
Rasimu ya Katiba ni kitabu kikubwa kilichosheheni mambo mengi. Kina kurasa 106, sura 17 na ibara 271. Wajumbe wa Bunge hili mnatakiwa kusoma na kuelewa vizuri kila kilichoandikwa ili muweze kufanya uamuzi ulio sahihi. Mnawajibika kuchambua kwa kina na umakini mkubwa kila kilichomo, sura kwa sura, ibara kwa ibara, sentensi kwa sentensi na hata neno kwa neno. Hamna budi kujiridhisha kuhusu uandishi wa vifungu vya Rasimu ya Katiba na kufaa kwa dhana mbalimbali zilizoingizwa na kujengeka katika Rasimu.

Mheshimiwa Mwenyekiti;
Kile ambacho Wajumbe mtaona kinastahili kuboreshwa au kurekebishwa au kufutwa msisite kufanya hivyo ili Watanzania wapate Katiba iliyo bora. Msipofanya hivyo kuna hatari ya kupata Katiba ambayo ni ngumu kuitekeleza. Aidha, tunaweza kuwa na Katiba ambayo itanung’unikiwa na watu wengi na kusababisha madai ya kutaka ifanyiwe marekebisho muda mfupi baada ya kupitishwa. Bunge hili linao wajibu maalum wa kuzuia balaa hilo lisitokee katika nchi yetu. Ngazi mbalimbali zilizowekwa katika mchakato huu ni kama chujio la kuepusha hali hiyo isitokee. Kile ambacho hakikuonekana katika hatua moja kitaonekana katika hatua inayofuata na kurekebishwa. Nawaomba fursa mliyonayo muitumie vizuri-RAIS JAKAYA MRISHO KIKWETE, 21 MACHI, 2014, DODOMA
Saafi sana, CCM mbele kwa mbele. Ni mwendo wa kukamata mwizi kuelekea 2015...Viva CCM, viva Jakaya Mrisho Kikwete.
 
Saafi sana, CCM mbele kwa mbele. Ni mwendo wa kukamata mwizi kuelekea 2015...Viva CCM, viva Jakaya Mrisho Kikwete.

Kama unavyoona Comrade.

Kelele za vyura wa kisiasa haziwezi kumzuia tembo wa kisiasa kunywa maji.

Tulithubutu, tukatenda na sasa tunasonga mbele
 
Back
Top Bottom