Katibu Mkuu Chongolo, rithi vyote kutoka kwa Dkt. Bashiru lakini siyo wabunge 19 waliofukuzwa CHADEMA

johnthebaptist

JF-Expert Member
May 27, 2014
83,768
141,632
Ndugu Chongolo Katibu mkuu wa CCM, ninakueleza haya kama mwanaCCM mwenzangu lakini zaidi kama mwana usharika mwenzangu, binadamu tunarithi baraka na kamwe haturithi dhambi na laana.

Kuna hao wabunge 19 yaani Halima James Mdee na wenzake, tafadhali usijishughulishe nao kwa sababu hiyo dhambi inatafuta pa kuangamiza.

Chukua mazuri ya mtangulizi wako na yale mabaya liachie bunge, mikono yako ni misafi usiitie najisi.

Hizo nafasi 19 za ubunge ni Wananchi walipanga foleni wakaipigia kura Chadema kwa upande wa Rais na wabunge, ni haki yao mbele ya Mungu wa mbinguni.

Siasa siyo uadui.

Kazi Iendelee!
 
Nakuona Jo
giphy.gif
 
Ndugai ni mwana ccm na Chongolo ni mwana Ccm, tusitarajie jipya hapo!
 
Wabaki tu sababu wanawakilisha Chadema nchi nzima wakiondolewa tutegemee wengi kuletwa toka kilimanjaro na hawara zao na wake zao viogozi wa kamati kuu
 
Ndugu Chongolo Katibu mkuu wa CCM, ninakueleza haya kama mwanaCCM mwenzangu lakini zaidi kama mwana usharika mwenzangu, binadamu tunarithi baraka na kamwe haturithi dhambi na laana.

Kuna hao wabunge 19 yaani Halima James Mdee na wenzake, tafadhali usijishughulishe nao kwa sababu hiyo dhambi inatafuta pa kuangamiza.

Chukua mazuri ya mtangulizi wako na yale mabaya liachie bunge, mikono yako ni misafi usiitie najisi.

Hizo nafasi 19 za ubunge ni Wananchi walipanga foleni wakaipigia kura Chadema kwa upande wa Rais na wabunge, ni haki yao mbele ya Mungu wa mbinguni.

Siasa siyo uadui.

Kazi Iendelee!
Ukipenda ua penda na boga lake bwashee
 
Muda mwingine unakuaga na akili jaribu kuwafundisha na wenzio sasa.
 
Wabaki tu sababu wanawakilisha Chadema nchi nzima wakiondolewa tutegemee wengi kuletwa toka kilimanjaro na hawara zao na wake zao viogozi wa kamati kuu
Akili za ajabu hizi.utawala uliopita mwendazake alijaza wasukuma mbona hatukusema.
 
Back
Top Bottom