Katibu Mkuu Chadema: Kuna Mchezo Mchafu sana kutoka kwa DC wa SIHA anaufanya kuhusu Uchaguzi

Mwanahabari Huru

JF-Expert Member
Mar 9, 2015
14,243
34,899
mashinji.jpg

"Licha ya Tume ya Uchaguzi kuonya lakini tumeona kila kukicha DC wa Siha anapanda kwenye majukwaa anampigia kampeni mgombea wa ccm anashinda polisi na sasa tuna taarifa ana mpango wa kumkamata Operesheni Kamanda wetu na mgombea na kuwaweka ndani

- "Mpaka sasa hivi tunavyoongea wanawatafuta mgombea wetu wa Siha na Operesheni Kamanda wanataka wahakikishe wanaweka ndani mpaka Uchaguzi uishe bila kujua mashtaka yao

- "Tunaomba hii alert tuipitishie Tume wahakikishe kwamba wao ni chombo huru wanasimamia uchaguzi huu kwa uhuru" Dkt
 
View attachment 692090

Kwani waliposusa na kurudi si mambo walikubaliana nayo kuwa yako sawa na yamerekebishwa??
 
View attachment 692090

"Licha ya Tume ya Uchaguzi kuonya lakini tumeona kila kukicha DC wa Siha anapanda kwenye majukwaa anampigia kampeni mgombea wa ccm anashinda polisi na sasa tuna taarifa ana mpango wa kumkamata Operesheni Kamanda wetu na mgombea na kuwaweka ndani

- "Mpaka sasa hivi tunavyoongea wanawatafuta mgombea wetu wa Siha na Operesheni Kamanda wanataka wahakikishe wanaweka ndani mpaka Uchaguzi uishe bila kujua mashtaka yao

- "Tunaomba hii alert tuipitishie Tume wahakikishe kwamba wao ni chombo huru wanasimamia uchaguzi huu kwa uhuru" Dkt
Mungu atusaidie tusifike mbali....
 
tuliuliza sababu zile mlizotangaza za kususia uchaguzi kipindi kile zimeshatatuliwa??
wengine mlikuja na matusi wengine wakina Yericko Nyerere wakaja na makala ndeeeefuuuuu isiyokuwa na mantiki wala majibu yakuridhisha na ya uhakika,leo kiko wapi??

mmerudi kulekule kulalamikia tume,tume haina mamlaka ya kuwafukuza ma DC,tume haina uwezo wa kuwaondolea hao wasimamizi wa uchaguzi ambao ni wakurugenzi na makada wa Chama,mmecheza mchezo wa patapotea ngoma inogile mchezo bado ni uleule tuu,maana mlichokisusa ndicho hikohiko kinafanyika wakati huu.

naomba Yericko Nyerere uje na makala nyingine kueleza upuuzi wako,
 
Back
Top Bottom