Katibu Mkuu CHADEMA huwa unadharaulika au unaogopwa?

Tardy

JF-Expert Member
Oct 31, 2021
1,288
1,604
Mara kwa Mara umeandikiwa barua na Msajili ujieleze kutokana na baadhi ya matamko yako kwa niaba ya chama. Umekuwa ukijibu barua zao,je mrejesho huwa unakuwa nini baada ya kujieleza.

Uliwafahamisha Tume ya uchaguzi kutojihusisha na chaguzi zozote na ukawakumbusha kuhusu kujibiwa barua inayohusu kutotambua fomu zilizojazwa za wabunge 19.

Mrejesho ukoje?

Je, unaogopwa au unadharaulika.
 
Katibu hawezi kukujibu, maana sina uhakika kama ataona hii thread yako.

Ila wanachama tunaweza kukujibu, ila kwanza weka maswali yako vizuri .
 
Katibu hawezi kukujibu, maana sina uhakika kama ataona hii thread yako.

Ila wanachama tunaweza kukujibu, ila kwanza weka maswali yako vizuri .
Hili jukwaa siyo la wanachadema wala ACT nk.
Atajibu aliyeelewa hoja ni nini
 
Kimsingi tume ya uchaguzi inataka cdm washirika huo uchaguzi ili upate mvuto, hivyo KM akiwaandikia cdm hawatashiriki tume haipati raha hivyo wanapotelea hewani. Ukitazama kwa sasa ni kama sheria ziko likizo na zinatekelezwa kwa utashi za viongozi wa ccm.

Hakuna uwezekano wa kuwalazimisha cdm kushiriki huo uhuni uitwao uchaguzi, na kwa vile kususia kwa cdm huo uchaguzi hakuathiri vizuri maslahi ya ccm, huweza kuona msajili au mkurugenzi wa tume akiaagizwa achukue hatua yoyote.

Jambo likiwa na athari ya uhakika kwa ccm ndio utaona mkurugenzi au msajili akitolewa ofisini kwenda kudeal na cdm.
 
1 Reactions
Reply
Back
Top Bottom