Katibu Mkuu CHADEMA atembelea Bunge la Afrika Mashariki

Crashwise

JF-Expert Member
Oct 23, 2007
22,227
8,739
Katibu Mkuu wa CHADEMA Dr.Vincent Mashinji alipotembelea na kushiriki katika bunge la Afrika mashariki leo mkoan Arusha akiwa ameambatana na wajumbe Wa kamati kuu prof Baregu na Fedreck Sumaye (waziri mkuu mstaafu) na mbunge wa viti maalumu mkoa wa Arusha Mh. Cecilia Pareso,Katibu wa CHADEMA kanda ya kaskazini Mh Aman Golugwa, meya wa jiji la Arusha mh Lazaro kalisit na viongozi wandamizi wa CHADEMA jimbo la Arusha Mjini
1464352303365.jpg
1464352315106.jpg
 
Publicity zingine hazna maana kabisa, inaashiria ana cover mambo yy aoneshe kapiga picha na mtei hapo sawa
 
Katibu Mkuu Wa chadema Dr Vincent Mashinji alipotembelea na kushiriki katika bunge la Afrika mashariki leo mkoan Arusha akiwa ameambatana na wajumbe Wa kamati kuu prof Baregu na Fedreck Sumaye (waziri mkuu mstaafu) na mbunge wa viti maalumu mkoa wa Arusha mh. Cecilia Pareso,Katibu wa chadema kanda ya kasikazi mh Aman Golugwa, meya wa jiji la Arusha mh Lazaro kalisit na viongozi wandamizi wa chadema jimbo la Arusha Mjini
View attachment 351450 View attachment 351451
siku moja nchi inachukuliwa
 
Afanye ziara kumshinda kikwete,mara uchaguzi huu tunapigwa bao,mwisho wa siku tumeibiwa.
 
Siku huyu katibu mkuu akiulizia kuhusu ruzuku ya chama inavyotumika..ndio siku atakayofukuzwa na mbowe
 
Kwa hiyo hapo anasaidia vipi chama? Maana hapo hajabeba matatizo ya wananchi wa Tz na hakitangazi chama bali yeye mwenyewe.

Tunamtaka aende field. Hatua hizo ni za mwisho sana.
 
Back
Top Bottom