CUF hawana wakati wa kurudi mezani na mtu huyu maana hata kwenye Chama chake amewekwa kama tools tu hana mamlaka ya kuthaminiwa maamuzi yake as a tools ni kwa matumizi tu.Na ikiwa mtu wenyewe anacheza rusha roho ndio kabisa.