Katibu Mkuu CCM Dk Bashiru Ally ampongeza Askari aliyekataa kutoa salamu ya CCM kwenye mkutano

Huku ni kuliabisha jeshi la polisi
katibu mkuu anatoa maagizo kama nani? Hongereni sana JWTZ kwa kuendelea kuimarisha nidhamu na heshima ya jeshi kwani wanasiasa wanakaa zaidi ya mbali na shughuli za utendaji za kila siku za jeshi. SALUTE MAKAMANDA
 
Hiyo pongezi nina wasiwasi nayo sana kwa udhati wake. Kweli! Kweli kabisa! Kabisa kabisa kutoka ndani ya mtima wa moyo wake! Huyu huyuu Sidhani.
 
Bashiru bwana, hiyo kazi imemshinda kama Kabudi alivyoshindwa kazi yake. atakuja ondoka hapo kwa aibu.
 
Hakuna ukwel wowote kwa kauli hiyo nilitegemea amkemee huyo mnec aliyelazimisha askar kusalimia salami ya kichama huku akijua kuwa ni kinyume na KATIBA YA TANZANIA

Sasa kumpongeza askar bila kumwonya huyo kiongoz wake ni mindly politics
 
Ujinga na unafki tu je huyo afande angesema CCM OYEE angemshangaa au kumpongeza kimyakimya?
 
Asihofu kwani hakuna asojua kuwa kila mfanyikazi anolipwa mshahara hulipwa na serekali ya ccm. Hivyo, ni kosa kutokukijali chama kinacho kulipa posho yako
Kwahyo serikali ya ccm inakusanya kodi kutoka kwa nyumbu, ngiri, panya na fisi kulipa mishahara sio?

basi ccm hoyee
 
Ingekuwa vyema kama angetafuta namba ya simu ya huyo Askari ampigie ili ampongeze
 
Kwahyo serikali ya ccm inakusanya kodi kutoka kwa nyumbu, ngiri, panya na fisi kulipa mishahara sio?

basi ccm hoyee
Hawajali imetoka wapi hiyo kodi au kaitoa nani hiyo kodi ila ikiisha ingia kwao wao wanasema ni mali yao hivyo wanaweza kuitumia waonavyo wao
 
Hizo pongezi za kinafiki tu. Moyoni kajawa na gubu sana dhid ya huyo askari. Time will tell
 
Back
Top Bottom