Sina shaka najua amelelewa vyema na Taasisi (Idara) pamoja na Baba yake Mzazi hivyo najua atatema Madini tupu na hatokuwa na Upuuzi kama aliokuwa nao Mpuuzi na Mnafiki aliyemtangulia na aliyemrithi hiyo nafasi Muhimu hasa Kiutendaji ndani ya Chama Tawala (CCM)
Press Conference imeyeyuka?
 
Tuseme tu ukweli CCM kabla ya JPM ilikuwa hoi taabani, watu walikuwa wakivaa sare za CCM wanazomewa mitaani. Leo hii Wana CCM wanavaa sare zao kwa kujiachia bila hofu yeyote.

Bashiru alifanya kazi kubwa ya kurudisha Mali za chama zilizokuwa zimeporwa na wajanja wachache ndani ya chama.
Bashiru amewezesha CCM iweze kujitegemea kimapato pasipokutegemea wahisani katika kuendesha Mambo yake ya chama.

CCM chini ya JPM, Bashiru na polepole imekuwa imara na yenye mvuto zaidi kuliko kipindi Cha kikwete.
Mungu akubariki saanaaa
 
Back
Top Bottom