Katibu Mkuu CCM Arusha aaibishwa ndani ya Mkutano Mkuu wa CCM.......

Agenda kuu katika mkutano lengwa ni nini haswa??

Member A town tuko wengi kushinda mikoa yote Bara na Visiwani.
Ila tulioactive tupo kwenye thelathini tu!
Shondola! Hebu jitokeze hadharani usomeke Kijana!

Ni kinaendelea??

ktk hao active mimi, wewe na Mungi tupo A town,just mention another..huyu shondola nadhani kajiregister leo alfajiri na huyu yupo kimkakati zaidi na EL,hutamuona tena humu
 
Katika hali isiyo ya kawaida Katibu wa CCM Mkoani Arusha amejikuta akiaibishwa na Mkutano Mkuu wa CCM baada ya kujifanya kusahau kumtambulisha Mhe. Edward Ngoyai Lowassa.

Hili lilisababisha Mkutano mzima kupiga kelele kubwa wakisema bado! Bado! Bado! Bado! Bado! Bado! Bado! Bado! Eddo! Eddi! Eddo! Eddo! Eddo! Eddo....... Na hapo kwa aibu ndipo Mary akameza mate na kumtambulisha Mhe. Lowassa.

Umati mzima ukasimama kwa vifijo na nderemo wakimshangilia muhusika

Katibu Mkuu CCM Arusha cheo hicho hakimo ndani ya uongozi wa CCM, pengine kateuliwa mwingine na CDM Arusha!!!!
 
Mbunge wa Monduli Edward Lowasa amemchana live mkuu wa mkoa wa arusha kuwa ni kijana mdogo asiyejua masuala ya siasa pamoja na katibu mkuu wa ccm mkoa wa Arusha Mary Chatanda kuwa nj kiherehere wa siasa baada ya kushindwa kumtamnjlisha kwenye mkutani wa uchaguzi wamwenyekiti wa ccm mkoa wa Arusha iliokuwa ukifanyika katika hotel ya Naura ,ambapo aliyekuwa mwenyekiti Onesmo Nangole amechaguliwa tena baada ya kupata ushindi wa kimbunga.
 
mbunge wa monduli edward lowasa amemchana live mkuu wa mkoa wa arusha kuwa ni kijana mdogo asiyejua masuala ya siasa pamoja na katibu mkuu wa ccm mkoa wa Arusha Mary Chatanda kuwa nj kiherehere wa siasa baada ya kushindwa kumtamnjlisha kwenye mkutani wa uchaguzi wamwenyekiti wa ccm mkoa wa Arusha iliokuwa ukifanyika katika hotel ya Naura ,ambapo aliyekuwa mwenyekiti Onesmo Nangole amechaguliwa tena baada ya kupata
ushindi wa kimbunga.

Mh. Lowassa endelea.... pambana endelea kupigania roho yako..... humo humo CCM iko siku watakujua wewe ni nani
 
Afadhali awambie ukweli wao Mkuu wa Mkoa ni kweli ni kiherehere hajui majukumu ya kazi yake
 
Lowasa, Lowassa, Lowassa...
Nakubaliana na Pinda aliyesema kuwa Mafisadi wana nguvu sn.
Aisee!
 
Lowasaaaa bhaaaaaaaaaaas, Mkuu pakajimy pamoja na kukubaliana na pinda, me nakubaliana na sofia simba kuwa ndani ya c.c.m lowasa ndio mwanaume pekee...
 
Hivi ni kwanini hii kauli nzito ya Sophia Simba watu hawataki kuijadili? Ukichunguza kwa undani kuna ukweli fulani. Kwa Laigwanan, mkuu wa mkoa, katibu wa chama wa mkoa hao ni watoto wadogo sana kwake na kama hawajipendi future zao walianzishe live na Laigwanan watajuta sana
 
Huyo ndiyo LAIGWANAN!Kiongozi wa juu kabisa wa kabila la wamasai!Chezea weyeeeeee??????????
 
Lowasaaaa
bhaaaaaaaaaaas, Mkuu pakajimy pamoja na kukubaliana na pinda, me
nakubaliana na sofia simba kuwa ndani ya c.c.m lowasa ndio mwanaume
pekee...

Mie ndio maana nilidhani mwanaume huyo pekee kawavua nguo "anawapiga kazi" any way magamba wakitifuana ndio vema.
 
Back
Top Bottom