Katibu mkuu BAVICHA, Bwana Julius Mwita na Jeshi la Polisi ndani ya tuhuma

Frey Cosseny

JF-Expert Member
Feb 4, 2015
1,984
1,405
Katibu mkuu wa Baraza la Vijana Chadema (BAVICHA) Bwana Julius Mwita anatuhumiwa kwa kutumia jeshi la polisi mkoa wa Arusha na Dar es salaam kumnyanyasa mwanamke anayedaiwa kuwa walikuw na uhusiano wa kimapenzi huko mkoani Arusha. Binti huyo mkazi wa Tengeru jijini Arusha maarufu mtandao kwa jina la Anna Queen ambaye pia kada wa CHADEMA walikutana na Julius Mwita ktk mitandao ya kijamii na magroup ya chama chao na kuanza mahusiano ya kimapenzi wkt katibu mkuu huyo CHADEMA alipokwenda kuhudhuria mkutano maalum mkoani kilimanjaro, mkutano ulikuwa ukifanyika ktk hotel ya Mkiti wa chama hicho Mh Freeman Mbowe iliyoko machame wilayani hai.

Mahusiano hayo yalianzia hoteli moja mjini moshi. Baada ya mahusiano hayo kudumu kwa muda mfupi walitofautiana baada ya mwanamke kumjulisha mwita kuwa anaujauzito wake. Mnamo tarehe 13feb2016 majira ya mchana Julius Mwita mkazi wa magomeni mwembechai alifika mjini arusha na kumjulisha mwanamke huyo kuwa wakutane ili wajadiliane kuhusu matunzo ya mimba ambapo walikubaliana kukutana ktk hoteli ya Ikweta karibu na ofisi ya mkuu wa mkoa Arusha.

Mwanamke huyo alipofika alimkuta bwana mwita na kuanza maongezi mara ghafla akatokea mwanamke mwingine ambaye alijitambulisha kwake yeye ni askari wa kituo cha Usa River askari huyo alikuwa amevaa sketi ya jeshi bila kofia huku akiwa amejifunika shuka ya kimasai alimchukua huyu Anna na kumpakia kwenye gari yake hadi kituo cha polisi UsaRiver wakiwa na Julius Mwita. Askari huyu anayejulikana kwa jina la WP Zainabu wa kituo cha Usa River alimsweka huyu dada rumande kwa muda wa siku nane bila huyu dada kuruhusiwa kupewa dhamana kinyume cha sheria ht huyu dada kuchukuliwa maelezo yake kituoni km ilivyokawaida dada huyu alikaa rumande kuanzia 13-19 Feb 2016 na kukataliwa dhamana na aliyekuwa ocs wa kituo AsP Leah ambaye kwa sasa ni ocid wilaya ya Monduli.

Mnamo tarehe 19/2/2016 Julius Mwita alimlipia nauli na posho ya safari askari polisi wa kituo cha Magomeni Dar es salaam aitwae WP Hadija nauli kutoka dar kwenda Arusha kumfuata mtuhumiwa bila kufuatataratibu za kiofisi ambapo huyu mtuhumiwa alichukuliwa na kuletwa dar na kuswekwa rumande kuanzia 19-22/ feb/2016 ambapo alifikishwa ktk mahakama ya mwanzo magomeni na kufunguliwa kesi ya jinai namba 187/2016 kesi itasikilizwa ijumaa wiki hii 24/6/2016.

Huyu dada akiwa mahabusu pale usariver mimba yakeiliharibika jambo lililotaka kutoa uhai wake. Changamoto iliyopo hapa ni makosa ya wazi kwa jeshi la polisi mkoani arusha hasa usariver kumnyima dhamana mtuhumiwa pamoja na kwamba alikuwa na wadhamini wakiwemo viongozi wa cdm arusha na katibu wa mbunge wa Hai lkn ocs ASP Leah alikataa kutoa dhamana jambo liliosabibasha mtuhumiwa kupoteza ujauzito akiwa mahabusu usariver. Jambo lingine ni kosa askari kuchanganya sare na nguo za kiraia km alivyofanya Wp Zainabu, lkn pia kwanini wp zainabu atumie usafiri binafsi wakiwa na mlalamikaji?

Bado najiuliza kwanini mlalamikaji ndiyo agharimie nauli na posho wa askari wa magomeni wp Hadija kumfuata mtuhumiwa Arusha ninani aliyebariki uhalifu huu? Cha kushangaza zaidi mashtaka iliyopo mahakama ya mwanzo magomeni ni matusi kwa njia ya mtandao kwamujibu wa sheria ya syber crime ya 2015 mahakama ya mwanzo haina mamlaka ya kusikiliza kesi hiyo kwanini ocid magomeni na mpelelezi wa kesi dtv David waamue kupeleka hii kesi mahakama ya mwanzo na siyo mahakama ya hakimu mkazi? Hapa polisi wanamaswali ya kuhojiwa km rushwahaikutumika? Km la kwanini wahusika hawajuchuliwa hatua?

Je huyu dada angepoteza maisha yake mahabusu je isingekuwa na picha mbaya na kuharibu sifa ya jeshi la polisi? Je kwanini mwanamke anayeishi na Julius Mwita aitwaye Grace Kimboka ambaye kimsingi ndiyo waliyotukanana na mtuhumiwa mshitakiwa hajakamatwa na polisi na kuunganishwa kwenye kesi? Make tusi ni jinai ambayo jamhuri ndiyo mshitaki na mwita anabaki km shahidi wa jamhuri.

Taarifa toka ndani jeshi la polisi linaelezA suala liko ofcn ya DCI kwa siku 25 bila kushugulikiwa.
 
Katibu mkuu wa Baraza la Vijana Cdm(bavicha) Bwana Julius Mwita anatuhumiwa kwa kutumia jeshi la polisi mkoa wa Arusha na Dares salaam kumnyanyasa mwanamke anayedaiwa kuwa walikuw na mahusiano wa kimapenzi huko mkoani Arusha. Binti huyo mkazi wa Tengeru jijini Arusha maarufu mtandao kwa jina la Anna Queen ambaye pia kada wa chadema walikutana na julius mwita ktk mitandao ya kijamii na magroup ya chama chao na kuanza mahusiano ya kimapenzi wkt katibu mkuu huyo chadema alipokwenda kuhudhuria mkutano maalum mkoani kilimanjaro, mkutano ulikuwa ukifanyika ktk hotel ya Mkiti wa chama hicho mh Freeman Mbowe iliyoko machame wilayani hai.

Kama suala hili limewasilishwa kwa DCI kama wewe ulivyoliwasilisha hapa ni ngumu sana kushughulikiwa!
 
sawa kwa hiyo kesho tar 24 kesi ndo itasikilizwa, naomba usisahau kutupa mrejesho wa uzi wako na hatma ya kesi
 
If this is true, then it's very sad, unfortunately I would want to balance it and hear the other side!!!!
 
Bora habari hii iwe ya uongo,kama ina ukweli polisi wamefanya uovu mkubwa kuliko huyo mnyanyasaji.Pili ikithibitika mahakamani kuwa ni kweli habari hii titathibiisha aina gani mpya ya maisha wanayotaka kutuletea "watawala wetu vivuli".
 
Kumbe huyu kamanda ni mkatili kiasi hiki? Kwanza anafanya mapenzi bila kinga!! Alafu anamnyanyasa tena kwa kutumia jeshi la polisi!!! Kama ni kumharibia jina sina shaka, kama ni kweli basi anaharibu sifa za Makamanda wa CHADEMA
 
Katibu mkuu wa Baraza la Vijana Chadema (BAVICHA) Bwana Julius Mwita anatuhumiwa kwa kutumia jeshi la polisi mkoa wa Arusha na Dar es salaam kumnyanyasa mwanamke anayedaiwa kuwa walikuw na uhusiano wa kimapenzi huko mkoani Arusha. Binti huyo mkazi wa Tengeru jijini Arusha maarufu mtandao kwa jina la Anna Queen ambaye pia kada wa CHADEMA walikutana na Julius Mwita ktk mitandao ya kijamii na magroup ya chama chao na kuanza mahusiano ya kimapenzi wkt katibu mkuu huyo CHADEMA alipokwenda kuhudhuria mkutano maalum mkoani kilimanjaro, mkutano ulikuwa ukifanyika ktk hotel ya Mkiti wa chama hicho Mh Freeman Mbowe iliyoko machame wilayani hai.

Mahusiano hayo yalianzia hoteli moja mjini moshi. Baada ya mahusiano hayo kudumu kwa muda mfupi walitofautiana baada ya mwanamke kumjulisha mwita kuwa anaujauzito wake. Mnamo tarehe 13feb2016 majira ya mchana Julius Mwita mkazi wa magomeni mwembechai alifika mjini arusha na kumjulisha mwanamke huyo kuwa wakutane ili wajadiliane kuhusu matunzo ya mimba ambapo walikubaliana kukutana ktk hoteli ya Ikweta karibu na ofisi ya mkuu wa mkoa Arusha.

Mwanamke huyo alipofika alimkuta bwana mwita na kuanza maongezi mara ghafla akatokea mwanamke mwingine ambaye alijitambulisha kwake yeye ni askari wa kituo cha Usa River askari huyo alikuwa amevaa sketi ya jeshi bila kofia huku akiwa amejifunika shuka ya kimasai alimchukua huyu Anna na kumpakia kwenye gari yake hadi kituo cha polisi UsaRiver wakiwa na Julius Mwita. Askari huyu anayejulikana kwa jina la WP Zainabu wa kituo cha Usa River alimsweka huyu dada rumande kwa muda wa siku nane bila huyu dada kuruhusiwa kupewa dhamana kinyume cha sheria ht huyu dada kuchukuliwa maelezo yake kituoni km ilivyokawaida dada huyu alikaa rumande kuanzia 13-19 Feb 2016 na kukataliwa dhamana na aliyekuwa ocs wa kituo AsP Leah ambaye kwa sasa ni ocid wilaya ya Monduli.

Mnamo tarehe 19/2/2016 Julius Mwita alimlipia nauli na posho ya safari askari polisi wa kituo cha Magomeni Dar es salaam aitwae WP Hadija nauli kutoka dar kwenda Arusha kumfuata mtuhumiwa bila kufuatataratibu za kiofisi ambapo huyu mtuhumiwa alichukuliwa na kuletwa dar na kuswekwa rumande kuanzia 19-22/ feb/2016 ambapo alifikishwa ktk mahakama ya mwanzo magomeni na kufunguliwa kesi ya jinai namba 187/2016 kesi itasikilizwa ijumaa wiki hii 24/6/2016.

Huyu dada akiwa mahabusu pale usariver mimba yakeiliharibika jambo lililotaka kutoa uhai wake. Changamoto iliyopo hapa ni makosa ya wazi kwa jeshi la polisi mkoani arusha hasa usariver kumnyima dhamana mtuhumiwa pamoja na kwamba alikuwa na wadhamini wakiwemo viongozi wa cdm arusha na katibu wa mbunge wa Hai lkn ocs ASP Leah alikataa kutoa dhamana jambo liliosabibasha mtuhumiwa kupoteza ujauzito akiwa mahabusu usariver. Jambo lingine ni kosa askari kuchanganya sare na nguo za kiraia km alivyofanya Wp Zainabu, lkn pia kwanini wp zainabu atumie usafiri binafsi wakiwa na mlalamikaji?

Bado najiuliza kwanini mlalamikaji ndiyo agharimie nauli na posho wa askari wa magomeni wp Hadija kumfuata mtuhumiwa Arusha ninani aliyebariki uhalifu huu? Cha kushangaza zaidi mashtaka iliyopo mahakama ya mwanzo magomeni ni matusi kwa njia ya mtandao kwamujibu wa sheria ya syber crime ya 2015 mahakama ya mwanzo haina mamlaka ya kusikiliza kesi hiyo kwanini ocid magomeni na mpelelezi wa kesi dtv David waamue kupeleka hii kesi mahakama ya mwanzo na siyo mahakama ya hakimu mkazi? Hapa polisi wanamaswali ya kuhojiwa km rushwahaikutumika? Km la kwanini wahusika hawajuchuliwa hatua?

Je huyu dada angepoteza maisha yake mahabusu je isingekuwa na picha mbaya na kuharibu sifa ya jeshi la polisi? Je kwanini mwanamke anayeishi na Julius Mwita aitwaye Grace Kimboka ambaye kimsingi ndiyo waliyotukanana na mtuhumiwa mshitakiwa hajakamatwa na polisi na kuunganishwa kwenye kesi? Make tusi ni jinai ambayo jamhuri ndiyo mshitaki na mwita anabaki km shahidi wa jamhuri.

Taarifa toka ndani jeshi la polisi linaelezA suala liko ofcn ya DCI kwa siku 25 bila kushugulikiwa.
Nimeisoma habari yako kutwaaaaa, hamna cha maana zaidi ya kusaka "The sucker punch"
 
humu habari kama hzo huwa hawazitaki, labda ingekuwa katibu mkuu wa uvccm ndio kafanya hvyo,hapo ungepata support kubwa sana humu!! ila kwa hii ya katibu wa bavicha,subiri utukanwe tu humu!
 
Watawala wachunguze hizi tuhuma watu wakitukanana wote wawili wanamakosa.hivi vikao vya vyama vinazalisha watoto wa mitaani
 
Back
Top Bottom