tramadol
JF-Expert Member
- Oct 10, 2015
- 5,383
- 4,317
Tanzania watanzania wako huru kujieleza na kila siku wanaonesha tu katika vyombo vya habari kueleza yaliyo moyoni mwao kwa uhuru kabisa.
Ukiangalia ktk mitandao ya kijamii watanzania wanajieleza sana hisia zao na matatizo yao haswa.
Serikali inasisitiza kila siku kuhusu uhuru wa kujieleza ni kuwa usitukane, usidhihaki wengine,usilete hofu kwa jamii, usilete na kutishia usalama wa Taifa, utoe taarifa na takwimu zilizosahihi kwa umma.
Ukienda kinyume na hayo utaona mkono wa dola ktk kutekeleza sheria.
Tanzania iko huru katika kujieleza sana.