Katiba ya Tanzania yazidi kusiginwa , 8 waliojiuzulu udiwani Cuf Tanga na kujiunga na CCM wahudhuria kikao cha bajeti na kulipwa posho

Yetu macho huku Meya anavuliwa bila Akidi kutimia,Mkurugenzi anaingiza jina la diwani aliye nje nchi,Tanga Madiwani waliotangaza kujiuzulu na kupokelewa na Katibu Mkuu wa ccm na kuhama viti vyao vya upinzani na kuhamia upande wa ccm mkurugenzi anasema hakuliona,hiyo ndio Tamisemi

Sent using Jamii Forums mobile app
ccm itavuna inachopanda
 
Watanzania tunasahau, serikali haziendeshwi kwa maneno wala mikutano ya kwenye majukwaa.

Kama hakuna barua ya kujiuzulu wala kufukuzwa, basi ni madiwani halali.
 
Write your reply...Hahahahaaa, inasikitisha sana kwa wapenda haki. Hata hivo sitarajii kusikia cuf wakilalamikia hili sbb mwasisi wa haya yote ni boss wao wa chama, kama alijiudhuru na baadaye kulala ofisini unategemea nini.
 
Mbona hujibu swali la msingi?

Kuna ushahidi kuwa wamejiuzulu au kufukuzwa? Hii ni legal issue, tusipende kuweka hisia.
Wamepokelewa na Katibu mkuu wa ccm mbele ya huyo huyo Mkurugenzi wa jiji , hatuandiki hizi taarifa kwa kutunga , hii si mara ya kwanza ccm kufanya hivi , haya yamekwishakutokea pia huko Tunduma
 
Mkurugenzi wa Jiji ameshasema, yeye hajaona barua zao hao waliojiuzulu mlitaka afanyaje? Wala chama chao hakijamtaarfu kwamba kimewafukuza uanachama!

Kama wamejiuzulu walipaswa wamuandikie barua Mkurugenzi, kwanini chama chao hakijawafukuza mpaka leo?

Sent using Jamii Forums mobile app
Ok lakini kama madiwani wangekuwa wametoka ccm na kujiunga na upinzani bila kumpa taarifa rasmi huyo mkurugenzi ni lazima wangezuiwa kushiriki vikao...!

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mkurugenzi wa Jiji ameshasema, yeye hajaona barua zao hao waliojiuzulu mlitaka afanyaje? Wala chama chao hakijamtaarfu kwamba kimewafukuza uanachama!

Kama wamejiuzulu walipaswa wamuandikie barua Mkurugenzi, kwanini chama chao hakijawafukuza mpaka leo?

Sent using Jamii Forums mobile app
Chama kitawafukuzaje watu ambao siyo wanachama wao tena na katika kikao wamekaa upande wa chama tawala?
 
Wamepokelewa na Katibu mkuu wa ccm mbele ya huyo huyo Mkurugenzi wa jiji , hatuandiki hizi taarifa kwa kutunga , hii si mara ya kwanza ccm kufanya hivi , haya yamekwishakutokea pia huko Tunduma
Hata kama angewapokea Rais mbele ya Katibu Mkuu Kiongozi, hivi wewe leo mkurugenzi wa kampuni yako atangaze mbele ya watu kuwa umefukuzwa kazi bila kukupa barua, utakuwa umefukuzwa kazi kweli kisa "ametangaza" hadharani?
 
Back
Top Bottom