Dragunov Sniper
JF-Expert Member
- Mar 9, 2015
- 2,795
- 9
hujielewi, ndiyo katiba inayopendekezwa afu serikali 2 zatosha!!!huo ndo mpango mzima.
unagegedwa
ni kweli katiba ya FISADI CHENGE and Co. HAIUZIKI ndo mana hata kuipigia kura imeshindikana.Ngekewa unazo mwenyewe unayemuwaza Chenge muda wote huna jipya!!!Katiba inayopendekezwa haizuiliki.
View attachment 241930
mwala kupiga kura ya ndiyooo kwa katiba inayopendekezwa!!!
View attachment 241934
unagegedwa
nadhani kuna sehem fulani katika vituo vyako vya mwilini kina upungufu ndo mana unawashwawashwa
ni kweli katiba ya FISADI CHENGE and Co. HAIUZIKI ndo mana hata kuipigia kura imeshindikana.
tena kwa taarifa yako imeshapigwa KIBUTI HAINA MPANGO. ni sawa na zile karatasi mnazotumia MSALANI. CHUKUENI PELEKENI MSALANI MKATUMIE KU....MBIA
nadhani kuna sehem fulani katika vituo vyako vya mwilini kina upungufu ndo mana unawashwawashwa
Mwalla bado upo na ufupi wako vilevile. Wewe huwa unaibuka tu kama magonjwa ya mlipuko, kipindupindu, ebola na ukosefu wa hekima. Haya naona ndo umetoka usingizini kwa kuamshwa. Haya rudi kalale ili muda wa kuamka ukifika uamke upige mswaki maana kinywa chako kinatoa harufu isiyofaa.Dawa ya wasanii ni kipiga chini hii katiba pendeka kwa kuipa kuraya ''hapana''
Hivi Mwalla huwa analewa kila wakati au ndo maumbile yake kwamba baadhi ya chromosomes zilipungua na ukienda kwenye medulla obulangata na ubongo wa kati navyo havina ushirikiano. Kama yuko hivyo inabidi awaone watumishi wa Mungu wamfanyie maombi.Mzee usie na hoja zaidi ya matuc!! hahahah
tatizo nyie watoto hamjitambui. JIFANYENI MAJUHA lkn soon mtanyweshwa dozi na mtajitambua na kuungana na waliojitambua.Hivi Mwalla huwa analewa kila wakati au ndo maumbile yake kwamba baadhi ya chromosomes zilipungua na ukienda kwenye medulla obulangata na ubongo wa kati navyo havina ushirikiano. Kama yuko hivyo inabidi awaone watumishi wa Mungu wamfanyie maombi. Naomba umfikishie ujumbe huu Hon. Mwalla.
Mwanakijiji Nimekupata mkuu.
Hayo uliyoelekeza ndio lengo kufikia ingawa sidhani kama litafikiwa katika karne hii kwa nchi kama ya Tanzania. Bunge letu limefeli kutoa changamoto ya kweli. Waandishi wa habari nao ndio hivyo tu. Vyama vya siasa navyo vinachechemea tu. Siasa za Tanzania bwana Mwanakijiji ni ngumu sana. Inahitaji commitment na sacrifice ya hali ya juu sana ambayo hadi sasa hajapatikana mtu wa aina hiyo.
Ila kama Mwalimu alivyosema kuwa upinzani wa kweli ni lazima utokee ndani ya CCM. Nami naamini huenda ipo siku baadhi ya wana CCM wataona na kuyakataa maovu haya ambayo yanatia aibu taifa letu.
Tatizo kubwa ambalo watanzania tunalo ni kukosa moyo wa uzalendo, utaifa na mawazo ya kujenga future ya nchi kama Tanzania. Kama tungekuwa na moyo huu si rahisi kuingiza nchi mikataba ya kuua kabisa nchi.
Ndio maana mie nasema kwa mtaji huu maono ya kuwaletea watanzania wote mema hayawezekani. Maana keki yote ya taifa mnakula nyie wachache akina mwanakijiji.
tatizo nyie watoto hamjitambui. JIFANYENI MAJUHA lkn soon mtanyweshwa dozi na mtajitambua na kuungana na waliojitambua.
Mwalla hiyo dozi yako kamyweshe mkeo na watoto wako sie tunajitambua ndio maana hatushabikii ujinga.
unagegedwa
Wewe unabemendwa!
unagegedwa
Wewe unabemendwa!