Katiba ya Tanzania: Ilivyo na mapendekezo ya mabadiliko

Dragunov Sniper

JF-Expert Member
Joined
Mar 9, 2015
Messages
2,797
Points
0

Dragunov Sniper

JF-Expert Member
Joined Mar 9, 2015
2,797 0
Wakati huu si wakati wa kulalamika jama,tumeshapiga hatua kubwa katika kuondoa changamoto mbalimbali zilizobainishwa na sisi wananchi,kupitia katiba inayopendekezwa tumeweza kujenga tanzania mpya,kazi kwetu kuhakiksha kuwa tunajiandaa vzr kujiandikisha kwa ajili ya kura ya maoni wakati ukifika,tatizo ni watu wachache wanaotaka kuhodhi mchakato huu kwa kuwapotosha wananchi,natambua kuwa watanzania wa leo hawadanganyiki kwa siasa na praganda zinazofanywa na watu wachache wasio na nia njema na taifa hili,binafsi nawatilia shaka watu hawa kama ni watanzania au ni raia wa kigeni,nchi hii imefika hapa ilipo kwa sababu ya uzalendo,amani,utulivu na mshikamano uliopo tangu kuasisiwa na taifa hili na viongozi wetu wa kwanza.

kwa sasa jambo la muhimu ni kuhakikisha kuwa tunaisoma katiba inayopendekezwa vzr ili tuielewe na mwisho tufanye uamuzi sahihi utakaowaaibisha wale wanaofanya propaganda za upotoshaji, tanzania kwanza
 

MWALLA

JF-Expert Member
Joined
Dec 12, 2006
Messages
14,855
Points
2,000

MWALLA

JF-Expert Member
Joined Dec 12, 2006
14,855 2,000
Na mashaka na jinsia yako wewe Mwala, maana kila kukicha we ni matuc tuuu, au we mwenzetu sio rizik a.k.a Shoga? Ukijibu tuc basi nitaamini kuwa wewe ni SHOGA
nadhani na wewe n mmoja wao. jipange tu hapo kwa mwenzio mpate DOZE msjali mtapata nafuu mtajitambua
 

Dragunov Sniper

JF-Expert Member
Joined
Mar 9, 2015
Messages
2,797
Points
0

Dragunov Sniper

JF-Expert Member
Joined Mar 9, 2015
2,797 0
utajitambua tu hata kwa bakora mpaka ujitambue. tulia dozeee ikuingie vizuri. kelele zako zinakata dozi inayokuingia.

Ha ha ha ha naona umefufuka!!! Komaaa huo ndo wanaume sio unalialia kwa wana JF waje kukusaidia kuchangia kwa povu ulizoanzisha mwenyewe, back to the game!!! kura ya ndiyo ndo mpango upende usipende itaingia tu mpaka chumbani kwako!!!
 

Dragunov Sniper

JF-Expert Member
Joined
Mar 9, 2015
Messages
2,797
Points
0

Dragunov Sniper

JF-Expert Member
Joined Mar 9, 2015
2,797 0

Halafu tuoengeze transition period; baada ya Uchaguzi, tuwe na muda wa kutosha, kama mwezi mmoja kabla ya Rais kuapishwa ili kutoa mwanya kwa malalamiko yote ya uchaguzi kushughulikiwa kabla ya rais mteule hajaapishwa rasmi. Kwa sasa hivi anaapishwa siku mbili tu baada ya uchaguzi na hivyo kuwanyima nafasi watu wenye malalamiko kuhusu uchaguzi kutoa malamiko hayo.

swala msingi ni kujiandikisha na kupiga kura ya ndio wakati ukifika,katiba inayopendekezwa ni ya watanzania wote
 

Yohana Kilimba

JF-Expert Member
Joined
Dec 25, 2012
Messages
8,126
Points
2,000

Yohana Kilimba

JF-Expert Member
Joined Dec 25, 2012
8,126 2,000
Hii ndio scenarioninayoiombea itokee,si kwa sababu siipend nchi yangu, bali ifungue macho ya viongozi/wabunge wetu kuona wapi tunakwenda. Sasa hivi ni tabu rais wa zanzibar kuhudhulia vikao vya baraza la mawaziri mwenyekiti akiwa si rais. Je rais wa Zanzibar chini ya chama cha upinzani ataona sababu yeyot ya maana kuhudhuria vikao hivyo? tutamlaumu akikataa, lakini mazingira ya ushirikiano kwa sasa uanategemea CCM kushinda pand zote, na ndio maana muafaka hautekelezeki na CCM watafanya kila ujuvi ili washinde Zanzibar. Losing will be too bitter a pill to swallow.
wanajamvi,hili jambo linaendana na kadhia ilyopo kule zanzibar,ebu tujadiri kidogo
 

Forum statistics

Threads 1,380,744
Members 525,869
Posts 33,778,465
Top