Katiba ya Tanzania: Ilivyo na mapendekezo ya mabadiliko

Dragunov Sniper

JF-Expert Member
Joined
Mar 9, 2015
Messages
2,797
Points
0

Dragunov Sniper

JF-Expert Member
Joined Mar 9, 2015
2,797 0
Mzee wa Busara, kinachoudhi na kunikera ni hiki kimbelembele cha waandishi kushangalia na kupiga vigelegele kwa kitu ambacho hakina kichwa la miguu. Kufuatia habari kuwa tume itaundwa na Rais Kikwete amesimamisha mikataba mipya, je watanzania tuna sababu ya kucheka au kulia? Binafsi nasema, tumezugwa tena ili tunyamazishwe. Mimi nitafurahia tume kupitia hii mikataba endapo tu maswali haya yatajibiwa (nisikilize kwenye mwanakijiji.podomatic.com). Nitayarudia hapa kwa kifupi:

a. Tume hii ya kupitia mikataba ina nguvu gani ya kisheria? Je ina uwezo wa kuita mashahidi (subpoena power) na uwezo wa kutoa kinga (immunity power) kwa mashahidi?

b. Je Mhe. Kikwete, Mhe. Edward Lowassa, na viongozi wengine waliokuwa katika nyadhifa mbalimbali wakati mikataba mbalimbali ikiingiwa wako tayari kuja na kuketi mbele ya tume hii huru na kutoa ushahidi wao chini ya adhabu ya kuongopea tume (under the penalty of perjury)

c. Je wale wote (wanasheria na viongozi wa wizara, idara, nk) ambao walihusika katika majadiliano ya mikataba (negotiations) kati ya serikali na mashirika, au makampuni ya kigeni wataitwa mbele ya tume hii na kujibu swali la kama makampuni ya kigeni yaliwapa "kitu kidogo" au asilimia 10 ili waweke vipengele fulani kwenye mikataba hiyo (kujibu swali hilo nashauri watu hao wapewe kinga!)

d. Je bunge letu liko tayari kupitisha sheria inayokataza mara moja kwa kampuni yoyote ya kigeni au ya ndani inayoingia mikataba na serikali ya tanzania au taasisi zake kutoa aina yoyote ya malipo kwa wawakilishi wa serikali kwenye mazungumzo au familia zao, malipo ambayo yanaweza kupotosha utendaji wa haki au uhuru wao wa kufanya kazi yao?

e. Je serikali iko tayari kuvunja mikataba yote (siyo kuifanyia marekebisho tu) ambayo imekiuka sheria za Tanzania au ambayo iliingiwa kwa njia za kilaghai?

Nikisikia majibu ya maswali hayo ndiyo nitajua kama nicheke au nilie, ama sivyo haya yote ni MAZINGAOMBWE!!!!!!
Ukicheka ukilia yote kwako ni majibu,na hapa unavyoonekana hueleweki, upewe majibu gani kama ni mfuatiliaji wa taarifa mbalimbali za Serikali kupitia Bunge yate uliyoyataja sio mapya na yameshafanyiwa kazi na wabunge waliuliza kwa niaba yako, kama hujaelewa nini kilijili nenda kamuulize mbunge wako au humjui!!!!
 
bmbalamwezi

JF-Expert Member
Joined
Mar 12, 2015
Messages
788
Points
170

bmbalamwezi

JF-Expert Member
Joined Mar 12, 2015
788 170
Waanabodi ninakerwa na jambo hili naomba tujadili. Hivi serikali ni nani? Nilidhani ni wananchi ambao wanawakilishwa na bunge?

Kutokana na majadiliano yanayoendelea bungeni kuhusu mikataba ambayo serikali haitaki ijadiliwe sisi kama wananchi ambao tumewachagua wabunge hawa tunapenda kuonyesha msimamo wetu kwa kufanya maandamano ya amani na mkutano mkubwa kutoa msimamo wetu. Mikataba yote ipelekwe bungeni. Sisi wananchi ndio tunasema.

Tanzania kweli ni nchi ajabu sana duniani. Ni kama nchi isio na watu wenye uchungu nchi yao. Jamani mawaziri mnasafiri sana nchi za watu na kuona maendeleo yao. Hivi kweli mna vision kuwa kuna siku Tanzania itaendelea? Ni lazima mfike mahali pa kuona wivu wa maendelo ya nchi siyo yenu binafsi tu. Tafadhali mheshimiwa Mbowe tunaomba uandae mkutano huo na kutoa tamko. Aliye karibu na mheshimiwa tafadhali mpelekee salamu. Msisubiri mpaka wakati wa uchaguzi tu.

" KWA MTAJI HUU NDOTO YA KUWALETEA WATANZANIA WOTE MAISHA BORA NA MEMA HAIWEZEKANI KABISA - IT IS NOT POSSIBLE FULLSTOP"

Sauti za wabunge hawa zisipuuzwe

KAMA kweli wabunge ndio wawakilishi wa wananchi, serikali sasa itaondoa pamba masikioni, itawasikiliza na kutekeleza wanachopendekeza.

Kwa siku nyingi sasa, kilio cha wabunge kuhusu mikataba ya madini na mikataba mingine mikubwa, kimezidi kiwango.

Kilio chao kimevuka mipaka ya kawaida. Kimewagusa hata wale ambao hawakuwa na shauku ya kukisikia.

Wabunge wanataka mikataba ipitiwe. Wanataka kujua kilichomo kwenye mikataba hiyo. Serikali haiwakilishi wananchi. Bunge ndicho chombo cha wananchi.

Wabunge wanapojadili jambo lenye manufaa kwa nchi, wanafanya hivyo kwa niaba ya wananchi wao.

Haiwezekani wabunge wapige kelele za kutaka kupitiwa mikataba, lakini serikali iendelee kuwa jeuri.

Awamu ya Tatu ya uongozi wa taifa hili ilitamba kwa kaulimbiu hewa ya uwazi na ukweli. Hapakuwa na uwazi wala ukweli.

Mikataba ilisainiwa. Wageni wakamilikishwa mali za taifa. Mikataba mingi ya kipuuzi kabisa ikasainiwa. Mzigo wa mikataba hiyo sasa unabebwa na walipa kodi wa nchi hii.

Serikali haikuwa wazi. Ilipuuza maoni ya wananchi, na hata ikafikia hatua ya kuwatisha wabunge waliosimama kidete kuhoji uoza fulani fulani.

Inasikitisha, na kwa kweli inakasirisha, kumsikia leo Rais mstaafu, Benjamin Mkapa, akiunga mkono kupitiwa upya kwa mikataba ya madini!

Yeye ndiye aliyekuwa kinara wa kuponda wote waliohoji mikataba hiyo, hata akafikia hatua ya kuwaita waliohoji kuwa ni wavivu wa kufikiri.

Waandishi wa habari walioandika au kuhoji mikataba hiyo, walionekana si wazalendo, na ni watu wasiokuwa na maarifa yoyote.

Serikali ya Awamu ya Tatu ilijaa ujuaji na ubabe. Net Group Solution walipingwa mno. Watanzania wengi walisimama kuipinga kampuni hiyo na hata wakurugenzi wake ambao wengi walikuwa ‘vihiyo’.

Lakini kilichofanywa na serikali ni kuwaita FFU wenye bunduki na gesi za kutoa machozi, kuwasindikiza Wazungu hao hadi ofisini.

Kimsingi yamefanyika mambo mengi ya ajabu katika nchi hii. Ndiyo maana tunasema kilio hiki cha wabunge sasa, lazima serikali ikifanyie kazi.

Miktaba ya kipuuzi, kwa mfano ya kuukodisha Uwanja wa Ndege wa Kilimanjaro kwa dola 1,000 kwa mwaka, ni laana isiyosameheka mbele ya Mola.

Hivi kweli Tanzania kwa utajiri wake ina sababu ya kuomba misaada mingi kama ilivyo sasa? Je, kwa ukwasi uliopo, kuna sababu ya watu kufa kwa magonjwa kama malaria?

Laana ya Tanzania ni nini? Je, si kweli kwamba laana ya Tanzania ni viongozi jeuri na wasioambilika? Kama kweli sauti ya wengi ni sauti ya Mungu, basi sauti hii ya wabunge lazima iheshimiwe. Serikali ipeleke mikataba bungeni.

Katiba yenyewe hii hapa:

Download your copy
Serikali ni wewe na mimi na wale uliowaweka madarakani wakuongoze. Hivyo unavyoilaumu serikali unajilaumu na wewe pia
 
Dragunov Sniper

JF-Expert Member
Joined
Mar 9, 2015
Messages
2,797
Points
0

Dragunov Sniper

JF-Expert Member
Joined Mar 9, 2015
2,797 0
waanabodi ninakerwa na jambo hili naomba tujadili. Hivi serikali ni nani? Nilidhani ni wananchi ambao wanawakilishwa na bunge?

Kutokana na majadiliano yanayoendelea bungeni kuhusu mikataba ambayo serikali haitaki ijadiliwe sisi kama wananchi ambao tumewachagua wabunge hawa tunapenda kuonyesha msimamo wetu kwa kufanya maandamano ya amani na mkutano mkubwa kutoa msimamo wetu. Mikataba yote ipelekwe bungeni. Sisi wananchi ndio tunasema.

Tanzania kweli ni nchi ajabu sana duniani. Ni kama nchi isio na watu wenye uchungu nchi yao. Jamani mawaziri mnasafiri sana nchi za watu na kuona maendeleo yao. Hivi kweli mna vision kuwa kuna siku tanzania itaendelea? Ni lazima mfike mahali pa kuona wivu wa maendelo ya nchi siyo yenu binafsi tu. Tafadhali mheshimiwa mbowe tunaomba uandae mkutano huo na kutoa tamko. Aliye karibu na mheshimiwa tafadhali mpelekee salamu. Msisubiri mpaka wakati wa uchaguzi tu.

" kwa mtaji huu ndoto ya kuwaletea watanzania wote maisha bora na mema haiwezekani kabisa - it is not possible fullstop"

sauti za wabunge hawa zisipuuzwe

kama kweli wabunge ndio wawakilishi wa wananchi, serikali sasa itaondoa pamba masikioni, itawasikiliza na kutekeleza wanachopendekeza.

Kwa siku nyingi sasa, kilio cha wabunge kuhusu mikataba ya madini na mikataba mingine mikubwa, kimezidi kiwango.

Kilio chao kimevuka mipaka ya kawaida. Kimewagusa hata wale ambao hawakuwa na shauku ya kukisikia.

Wabunge wanataka mikataba ipitiwe. Wanataka kujua kilichomo kwenye mikataba hiyo. Serikali haiwakilishi wananchi. Bunge ndicho chombo cha wananchi.

Wabunge wanapojadili jambo lenye manufaa kwa nchi, wanafanya hivyo kwa niaba ya wananchi wao.

Haiwezekani wabunge wapige kelele za kutaka kupitiwa mikataba, lakini serikali iendelee kuwa jeuri.

Awamu ya tatu ya uongozi wa taifa hili ilitamba kwa kaulimbiu hewa ya uwazi na ukweli. Hapakuwa na uwazi wala ukweli.

Mikataba ilisainiwa. Wageni wakamilikishwa mali za taifa. Mikataba mingi ya kipuuzi kabisa ikasainiwa. Mzigo wa mikataba hiyo sasa unabebwa na walipa kodi wa nchi hii.

Serikali haikuwa wazi. Ilipuuza maoni ya wananchi, na hata ikafikia hatua ya kuwatisha wabunge waliosimama kidete kuhoji uoza fulani fulani.

Inasikitisha, na kwa kweli inakasirisha, kumsikia leo rais mstaafu, benjamin mkapa, akiunga mkono kupitiwa upya kwa mikataba ya madini!

Yeye ndiye aliyekuwa kinara wa kuponda wote waliohoji mikataba hiyo, hata akafikia hatua ya kuwaita waliohoji kuwa ni wavivu wa kufikiri.

Waandishi wa habari walioandika au kuhoji mikataba hiyo, walionekana si wazalendo, na ni watu wasiokuwa na maarifa yoyote.

Serikali ya awamu ya tatu ilijaa ujuaji na ubabe. Net group solution walipingwa mno. Watanzania wengi walisimama kuipinga kampuni hiyo na hata wakurugenzi wake ambao wengi walikuwa ‘vihiyo’.

Lakini kilichofanywa na serikali ni kuwaita ffu wenye bunduki na gesi za kutoa machozi, kuwasindikiza wazungu hao hadi ofisini.

Kimsingi yamefanyika mambo mengi ya ajabu katika nchi hii. Ndiyo maana tunasema kilio hiki cha wabunge sasa, lazima serikali ikifanyie kazi.

Miktaba ya kipuuzi, kwa mfano ya kuukodisha uwanja wa ndege wa kilimanjaro kwa dola 1,000 kwa mwaka, ni laana isiyosameheka mbele ya mola.

Hivi kweli tanzania kwa utajiri wake ina sababu ya kuomba misaada mingi kama ilivyo sasa? Je, kwa ukwasi uliopo, kuna sababu ya watu kufa kwa magonjwa kama malaria?

Laana ya tanzania ni nini? Je, si kweli kwamba laana ya tanzania ni viongozi jeuri na wasioambilika? Kama kweli sauti ya wengi ni sauti ya mungu, basi sauti hii ya wabunge lazima iheshimiwe. Serikali ipeleke mikataba bungeni.

Katiba yenyewe hii hapa:

download your copy

hoja yako nimeisoma na ninakushukuru kwa kuandika mambo mengi, nimepitia vizuri nikaona umejaa lawama sana kuliko kutoa solution ya nini kifanyike?sasa ngoja nikusaidie, hizo serikali zote unazoziponda wewe ndizo zilizopata ridhaa kutoka kwa wananchi ili ziwaongoze na si vinginevyo, wangekuwa wamezichoka wasingeendelea kuzichagua ziwaongoze tena na tena.

Kama hupendi hali hii waambie watanzania wasiwachague!!!!
 
MWALLA

JF-Expert Member
Joined
Dec 12, 2006
Messages
14,854
Points
2,000

MWALLA

JF-Expert Member
Joined Dec 12, 2006
14,854 2,000

kipanya.jpg ImVotingNO.jpg
 
MWALLA

JF-Expert Member
Joined
Dec 12, 2006
Messages
14,854
Points
2,000

MWALLA

JF-Expert Member
Joined Dec 12, 2006
14,854 2,000
Ngekewa unazo mwenyewe unayemuwaza Chenge muda wote huna jipya!!!Katiba inayopendekezwa haizuiliki.

View attachment 241930
ni kweli katiba ya FISADI CHENGE and Co. HAIUZIKI ndo mana hata kuipigia kura imeshindikana.
tena kwa taarifa yako imeshapigwa KIBUTI HAINA MPANGO. ni sawa na zile karatasi mnazotumia MSALANI. CHUKUENI PELEKENI MSALANI MKATUMIE KU....MBIA
 
Dragunov Sniper

JF-Expert Member
Joined
Mar 9, 2015
Messages
2,797
Points
0

Dragunov Sniper

JF-Expert Member
Joined Mar 9, 2015
2,797 0
ni kweli katiba ya FISADI CHENGE and Co. HAIUZIKI ndo mana hata kuipigia kura imeshindikana.
tena kwa taarifa yako imeshapigwa KIBUTI HAINA MPANGO. ni sawa na zile karatasi mnazotumia MSALANI. CHUKUENI PELEKENI MSALANI MKATUMIE KU....MBIA
Umeishiwa hoja hii ni YESSSSS mwanzo mwisho. Utasubiri sana ianguke lakini hutoiona ikianguka ng'oooooo!!
 
bmbalamwezi

JF-Expert Member
Joined
Mar 12, 2015
Messages
788
Points
170

bmbalamwezi

JF-Expert Member
Joined Mar 12, 2015
788 170
Dawa ya wasanii ni kipiga chini hii katiba pendeka kwa kuipa kuraya ''hapana''
Mwalla bado upo na ufupi wako vilevile. Wewe huwa unaibuka tu kama magonjwa ya mlipuko, kipindupindu, ebola na ukosefu wa hekima. Haya naona ndo umetoka usingizini kwa kuamshwa. Haya rudi kalale ili muda wa kuamka ukifika uamke upige mswaki maana kinywa chako kinatoa harufu isiyofaa. Pole Mwallaaaa!
 
bmbalamwezi

JF-Expert Member
Joined
Mar 12, 2015
Messages
788
Points
170

bmbalamwezi

JF-Expert Member
Joined Mar 12, 2015
788 170
Mzee usie na hoja zaidi ya matuc!! hahahah
Hivi Mwalla huwa analewa kila wakati au ndo maumbile yake kwamba baadhi ya chromosomes zilipungua na ukienda kwenye medulla obulangata na ubongo wa kati navyo havina ushirikiano. Kama yuko hivyo inabidi awaone watumishi wa Mungu wamfanyie maombi. Naomba umfikishie ujumbe huu Hon. Mwalla.
 
MWALLA

JF-Expert Member
Joined
Dec 12, 2006
Messages
14,854
Points
2,000

MWALLA

JF-Expert Member
Joined Dec 12, 2006
14,854 2,000
Hivi Mwalla huwa analewa kila wakati au ndo maumbile yake kwamba baadhi ya chromosomes zilipungua na ukienda kwenye medulla obulangata na ubongo wa kati navyo havina ushirikiano. Kama yuko hivyo inabidi awaone watumishi wa Mungu wamfanyie maombi. Naomba umfikishie ujumbe huu Hon. Mwalla.
tatizo nyie watoto hamjitambui. JIFANYENI MAJUHA lkn soon mtanyweshwa dozi na mtajitambua na kuungana na waliojitambua.
 
Dragunov Sniper

JF-Expert Member
Joined
Mar 9, 2015
Messages
2,797
Points
0

Dragunov Sniper

JF-Expert Member
Joined Mar 9, 2015
2,797 0
Mwanakijiji Nimekupata mkuu.

Hayo uliyoelekeza ndio lengo kufikia ingawa sidhani kama litafikiwa katika karne hii kwa nchi kama ya Tanzania. Bunge letu limefeli kutoa changamoto ya kweli. Waandishi wa habari nao ndio hivyo tu. Vyama vya siasa navyo vinachechemea tu. Siasa za Tanzania bwana Mwanakijiji ni ngumu sana. Inahitaji commitment na sacrifice ya hali ya juu sana ambayo hadi sasa hajapatikana mtu wa aina hiyo.

Ila kama Mwalimu alivyosema kuwa upinzani wa kweli ni lazima utokee ndani ya CCM. Nami naamini huenda ipo siku baadhi ya wana CCM wataona na kuyakataa maovu haya ambayo yanatia aibu taifa letu.

Tatizo kubwa ambalo watanzania tunalo ni kukosa moyo wa uzalendo, utaifa na mawazo ya kujenga future ya nchi kama Tanzania. Kama tungekuwa na moyo huu si rahisi kuingiza nchi mikataba ya kuua kabisa nchi.

Ndio maana mie nasema kwa mtaji huu maono ya kuwaletea watanzania wote mema hayawezekani. Maana keki yote ya taifa mnakula nyie wachache akina mwanakijiji.

Acha kulalama wewe ndo tatizo,niambie akili yako inawaza nini hapa
 
Forum statistics

Threads 1,380,730
Members 525,856
Posts 33,778,095
Top