Katiba Ya Tanganyika | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Katiba Ya Tanganyika

Discussion in 'Jukwaa la Siasa' started by Mwiba, Jul 15, 2012.

 1. Mwiba

  Mwiba JF-Expert Member

  #1
  Jul 15, 2012
  Joined: Oct 23, 2007
  Messages: 7,606
  Likes Received: 215
  Trophy Points: 160
  Nawauliza watanganyika hivi Tanganyika inayo Katiba ,je iliwahi kufanyiwa marekebisho na zaidi itaingia vipi katika mchakato unaoendelea hivi sasa ,mchakato ambao unataka kiunganishi na ile Katiba ya Jamhuri ya watu wa Zanzibar ,ili ziendane bila ya kukwaruzana.
   
 2. Fredrick Sanga

  Fredrick Sanga JF-Expert Member

  #2
  Jul 15, 2012
  Joined: Jan 27, 2011
  Messages: 3,148
  Likes Received: 19
  Trophy Points: 135
 3. m

  mkataba Senior Member

  #3
  Jul 15, 2012
  Joined: Jul 6, 2012
  Messages: 147
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  wanayo si ni hii ya muungano au .......???

  Hawa Watanganyika wanajificha kwenye shamba la njugu
   
 4. Mwiba

  Mwiba JF-Expert Member

  #4
  Jul 15, 2012
  Joined: Oct 23, 2007
  Messages: 7,606
  Likes Received: 215
  Trophy Points: 160
  Hawa ndio wakawa wanaiba kila kitu ,wanajua nchi yao haina Katiba.
   
Loading...