Katiba ya sasa inawafanya watu wengi watamani kuishi ulaya

Kurunzi

JF-Expert Member
Jul 31, 2009
9,277
9,912
WanaJF mchangiaji mmoja wa wa lipindi cha star tv mr uruo amenigusa sana kwa comment yake kuhusu katiba
Kutokana na mapungufu ya katiba ya sasa imepelekea watu wengi kuichukia nchi yao nakutamani kuwa raia wa nchi nyingine hasa nchi za ulaya

Hi ni kutokana na mapungufu ya katiba katika usimamiaji wa rasilimali za nchi na uwajibikaji wa viongozi walio wekwa kwa mujibu wa katiba. Hali hiyo inapelekea watu wengi kuona viongozi waliwekwa na katiba hiyo kujinufaisha kwa kutumia rasilimali za nchi kwa manufaa yao na familia zao hivyo watu wengi kujiona w
ahastahili kuwa nesehemu za rasimali hizo.

Source : star tv- medani za siasa
 
Back
Top Bottom