Mtu wa Mungu
JF-Expert Member
- Nov 9, 2010
- 444
- 19
Chombo pekee cha kidemokrasia kinachowakilisha spectrum yote ya wananchi wa Tanzania ni Bunge-period.............. Serikali ya CCM imewasaliti wananchi katika maeneo kadhaa mengi, miongoni mwake ni (1) Kumpachika rais asiyetokana na ridhaa ya wananchi wa TZ (Chaguo la wanachi walio wengi-Slaa 64%, chaguo la CCM walio wachache, Kikwete 27% na ndiye wakamfanya kuwa mfalme wao-watanzania wamebaki bila mfalme!!!!!) (2) Wamevunja katiba ya sasa kwa kupeleka bungeni kinyume na sheria za nchi wabunge 19 batili na kulazimisha kuwa wawakilisi wa watanzania wote katika majimbo husika, (3) Serikali ya CCM wamethubutu hata kumpeleka sophia simba katika bunge la SADC kwa mlango wa uani bila aibu!!!shame!!!!! (4) CCM imeweka utawala wa nchi hii mikononi mwa matajiri fisadi na waganga wa kienyeji na manajimu wenye lengo la kuua utaifa na kufanya taifa hili kuwa shamba la bibi kwa wageni;(5) Kama walivyofanya siri mikataba ya madini na ubinafsishaji na kuangamiza taifa, ya katiba itakuwa zaidi ya agenda za siri ndani ya TOR-hadidu za rejea, (6)Ongezeni ya ziada wana JF-orodha ni ndefu sana!!!!!!!!!!!!!!!!!,
Kwa haya na mengine ya uchungu ndani ya watanzania wenye mapenzi na nchi hii CCM na serikali yake hawana sifa kabisa ya kusimamia zoezi la kihistoria la kuandika katiba mpya-njia ya kweli ni Bunge tu-Mhe Mnyika peleka hoja ya binafsi bunge la Feb 2011; kama Anna Makinda atazima rudi kwa wananchi na jumuia ya kimataifa!!!!!!!!!!!!!!!!
Chombo pekee cha kutengeneza TOR na kusimamia mchakato wote hadi tupate katiba kama ile ya Kenya ni bunge tu!!!!!!!! Bunge jifunzeni Kenya kupunguza muda na format!!!!!