Katiba ya jamhuri ya muungano wa tanzania | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Katiba ya jamhuri ya muungano wa tanzania

Discussion in 'KATIBA Mpya' started by kilimasera, Dec 28, 2010.

 1. kilimasera

  kilimasera JF-Expert Member

  #1
  Dec 28, 2010
  Joined: Dec 2, 2009
  Messages: 3,073
  Likes Received: 17
  Trophy Points: 135
 2. Matola

  Matola JF-Expert Member

  #2
  Dec 28, 2010
  Joined: Oct 18, 2010
  Messages: 36,045
  Likes Received: 13,277
  Trophy Points: 280  Mbona hueleweki!!!!???? au ulikuwa unataka kusaidiwa katiba pdf?

  Bofya hapo chini.

  View attachment 19210
   
 3. kilimasera

  kilimasera JF-Expert Member

  #3
  Dec 28, 2010
  Joined: Dec 2, 2009
  Messages: 3,073
  Likes Received: 17
  Trophy Points: 135
  nilikua natoa msaada kwa wale wenzangu na mimi ambao tulikuwa hatujui kama kuna katiba iliyoandikwa kwa kiswahili!!poa nashukuru man!
   
 4. m

  maarufu Member

  #4
  Dec 28, 2010
  Joined: Nov 28, 2010
  Messages: 63
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Ahsante kilimasera
   
 5. T

  Taso JF-Expert Member

  #5
  Dec 28, 2010
  Joined: Jun 12, 2010
  Messages: 1,653
  Likes Received: 460
  Trophy Points: 180
  hii sio katiba iliyo in force sasa hivi, ni ya zamani.

  katiba ya mwisho ni version yenye amendments za 2005

  tukijadili Katiba tuanze na kuwa na Katiba
   
 6. Matola

  Matola JF-Expert Member

  #6
  Dec 29, 2010
  Joined: Oct 18, 2010
  Messages: 36,045
  Likes Received: 13,277
  Trophy Points: 280


  Sasa mkuu watu watajadili vipi katiba mpya wakati hii ya sasa hawaijuwi? hii ndio njia sahihi ya kuelimishana na kuhamasisha Watanzania wajenge utamaduni wa kujisomea, sio tusubili kila kitu tusemewe na wanasiasa.
   
 7. T

  Taso JF-Expert Member

  #7
  Dec 29, 2010
  Joined: Jun 12, 2010
  Messages: 1,653
  Likes Received: 460
  Trophy Points: 180
  "Hii ya sasa" iko wapi humu jamvini?

  Hiyo hapo juu ni worthless relic ya mwaka 2000.
   
 8. LazyDog

  LazyDog JF-Expert Member

  #8
  Jan 23, 2011
  Joined: Apr 10, 2008
  Messages: 2,478
  Likes Received: 13
  Trophy Points: 135
  I doubt that. Can you give us few examples to support your argument?
   
Loading...