Katiba undecided | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Katiba undecided

Discussion in 'KATIBA Mpya' started by Sam, Dec 5, 2010.

 1. S

  Sam JF-Expert Member

  #1
  Dec 5, 2010
  Joined: Jun 6, 2006
  Messages: 416
  Likes Received: 6
  Trophy Points: 0
  Nimeambiwa humu ili topic yako iwe na viewers wengi for somehow you have to find a way to link with Zitto... hahaha. Anyway, sina haja hiyo topic yangu niliyoanzisha zaidi ya miaka mine iliyopita ndiyo inayoongoza humu wa Replies/Views. Mwanakijiji upo hapo?
  https://www.jamiiforums.com/jukwaa-la-siasa/1438-muungano-na-kero-zake-tuuvunje.html
  Back to the topic…
  Najua watu wengi humu ndani tunakubaliana kwamba katiba yetu ina matatizo ingawa sina uhakika kama tunaitaji katiba mpya au marejebisho ya katiba. Moja ya tatizo kubwa ni hilo hapo juu nililitoa… siyo kwamba nimeweka link hiyo kuonesha kwamba topic niliyoanzisha imepata replies/views nyingi kwenye historia ya JF (hata mimi nimechangia kidogo sana kwenye hiyo topic) bali inaonyesha jinsi ambavyo muungano na muundo wa serikali ulivyokuwa kero kwa watanzania.
  Hilo siyo tatizo pekee ndani la katiba na kibaya zaidi hata ufafanuzi wa matatizo ya katiba hayajitoshelezi kitu ambacho kinanifanya niwe undecided. Kwa mfano wakati kampeni zinaanza Slaa alisema kwamba katiba ndiyo sababu mojawapo ambalo linafanya watanzania wengi wawe masikini bila ya wao wenyewe kujua… Well, mimi nikasema ngoja nichukue popcorn nisubiri…maelezo yake.. How? It might be true but it is a heavy topic… watu wa kawaida watataka kujua ni kivipi Kitila Mkumbo amefika sehemu aliyofika under the same katiba na wengine wasifike.. je? Katokea familia ya kifisadi na kubebwa bebwa kama Riz1 na January? Ni kivipi Pinda amekua waziri mkuu toka kwenye familia ya kikulima? Nikivipi familia ya Mbowe haijapitia ulalahoi under the same katiba… najua issue kama hivi ni just simply “crap” kwa new generation hapa JF. But it real depends how low u wanna go.
  Few days ago, nilikuwa naongea na Mkenya mmoja akaniambia watz si lazima waandika katiba mpya kwa kuwaiga Kenya kwa sababu sababu za wakenya kudai katiba mpya ni tofauti kabisa na za watanzania. Hiyo inaweza kuwa kweli, lakini sababu zetu nazo zinatosheresha kuomba katiba mpya au marekebisho. Ndiyo, tumejua tatizo ni nini na tunajua tunataka kuelekea wapi (Katiba mpya). Tatizo kubwa ambalo nadhani hapa mnaojiita great thinkers inabidi mliangalie ni the process kuelekea huko kwenye katiba mpya, pengine tunaweza kupata katiba mbovu kuliko iliyopo sasa. Tofauti na Kenya, wao wana viongozi ambao wako willing kuisimalia mpaka liishe. Who is going to be our leader? Hahaha.. Kwa mfano, kwa upande wangu naunga mkono kutengenisha mambo ya dini na serikali… Hebu mtu mmoja aniambie ni kivipi ofisi ya kadhi itaepukika kutotambuliwa kikatiba… hata kwa vote itapita… Jambo jingine watanzania ni masikini sana na waroho wa hela ndiyo maana maamuzi mengi ya nchi yanafanywa na watu wenye hela.. tukianza process ya katiba mpya matajiri wote wataunganisha hela zao na kuhakikisha hata yale mambo yanayowabana kikatiba yanatambuliwa kikatiba… just tell me how you gonna stop that..ndiyo wenye TV, radio, hata magazeti... bila kusahau mashinikizo ya nchi ya nchi yanayotutuza. Angalia Kenya, kuna issue ya ma gay nao wanadai haki zao zitambuliwe kikatiba na mashirika mengi ya nje yanawafadhiri.. hata hapa Tanzania itatokea hivyo hiyvo.. Je? Kuna kiongozi wetu hata mmoja anayeweza kusema kuwa pamoja na kwamba wanachama wengi wa JF ni ma gay lakini ni big NO kama viongozi wa Kenya walivyosema?.....Mimi bado nimeacha mlango wazi kwenye hii issue nasubiri mawazo yenu… but we all know the results when nappy headed monkeys practice western democracy.
   
 2. G

  Gad ONEYA JF-Expert Member

  #2
  Dec 6, 2010
  Joined: Oct 26, 2010
  Messages: 2,641
  Likes Received: 4
  Trophy Points: 135
  the masses of the needy of this dear land.
   
 3. S

  Sam JF-Expert Member

  #3
  Dec 18, 2010
  Joined: Jun 6, 2006
  Messages: 416
  Likes Received: 6
  Trophy Points: 0
  Hivi mnasemaje kuhusu mawazo yangu naona mkausha. Kama ni pumba si mniambie tu F up yourself na mimi najui cha kufanya.
   
 4. S

  S. S. Phares JF-Expert Member

  #4
  Dec 20, 2010
  Joined: Nov 27, 2006
  Messages: 2,141
  Likes Received: 9
  Trophy Points: 0
  Mpaka pale tutakapoweza kusimamia Katiba hii tuliyonayo, ndio tuanze kuzungumzia Katiba mpya.
   
 5. S

  Sam JF-Expert Member

  #5
  Dec 31, 2010
  Joined: Jun 6, 2006
  Messages: 416
  Likes Received: 6
  Trophy Points: 0
  Bado niko undecided.. tena hasa baada ya kuona watu kama EL wanasapoti... ameshaona mwanya wa kubadilisha mambo ili anufaike... Kila kundi lina interests zake... you better explain in details....how we gonna reach our goals...
  Hivi kwa mfano leo hii ipigwe kura kuangalia tufuate mfumo wa vyama vyingi au chama kimoja ni upande gane utashinda... watch out monkeys...... we need leadership on this na bado sijaona.
   
Loading...