Katiba sifuri ya CUF kuvunja Muungano na kuitambua Tanganyika

Mimi nawapongeza sana CUF kwa mapendekezo yao,kwani muungano wetu utakuwa kama ule wa USA!safi sana!!
 
katu Zanzibar haiwezi kuwa equal partner. Nguvu za California katika United States hazilingani na Rhode Island.

Acheni kufikiria Zanzibar kama Butiama ama Bunda. Nguvu gani hizo mnazozungumza? Kwani California ina senators wangapi kwenye baraza la senate?
 
Hiyo katiba sufuri ya CUF ina muelekeo na kukubalika kwa pande zote mbili za muungano uliopo sasa.
 
mkuu,
kwa hiyo dhana ya usawa kwako haiko?
kama nchi moja ni kubwa na nyengine ni ndogo katu hakuna usawa?
jee kwenye EAC Rwanda ni mshirika sawa na TZ au??

Cha muhimu ni ridhaa ya wananchi wenyewe Bila kujali nchi ni kubwa au ndogo wananchi waulizwe Aina ya muungano wanaotaka aidha serkali moja au tatu au kusiwe na muungano ni haki yao Na sauti yao ìheshimiwe
 
katu Zanzibar haiwezi kuwa equal partner. Nguvu za California katika United States hazilingani na Rhode Island.

Mkuu,

Kwa umri wako unakumbuka vyema kuwa Tanganyika ilikuwa ni sovereign state na Zanzibar ilikuwa ni sovereign state, ama nakosea hapa?

Sasa kuna nchi inayoungana na nyegine na kukubali kuwa mkoa?

Au haya ni maajabu ya Tanzania tu?
au wewe unamaana gani kuwa katu Zanzibar hawezi kuwa equal partner na Tanaganyika katika muungano wa Tanganyika na Zanzibar?

kwa mantiki hii pia ni kuwa katu Rwanda na Burundi haziwezi kuwa equal partner na Tanzania katika EAC?
 
Katika ibara ya kwanza ya katiba sifuri ya CUF inasema itavunja Muungano wa Tanzania unaoundwa kati ya Tanganyika na Zanzibar na kuunda Serikali ya Shirikisho litakalokuwa chini ya rais mmoja.

Ibara ya 100 inahusu uwapo wa Serikali ya Tanganyika na ya Zanzibar ambazo zitakuwa na mamlaka juu ya mambo yote yasiyo ya Shirikisho ambapo kwa mujibu wa rasimu hiyo, Kiongozi Mkuu wa Serikali ya Tanganyika na pia Kiongozi Mkuu wa Serikali ya Zanzibar, ataitwa Gavana.

Pia Ibara ya 101 katika rasimu hiyo iliyotolewa na CUF, inasema kuwa magavana wa
Tanganyika na Zanzibar watachaguliwa kwa mujibu wa Katiba ya Tanganyika na Katiba ya Zanzibar.

Tujadili.
Nitakuelewa usemacho endapo utafanikisha kutuwekea copy ya hiyo rasimu hapa.
Nachelea kuchangia MADHANIA...
 
ukiondoa hiyo bold zilizobaki ni pumba ambazo zitaongeza gharama na migongano isiyo na msingi!
Vunja zanzibar ibaki mkoa, kisha tunabaki na serikali moja!
Nafikiri huko sahihi wacha mawazo mgando. ZANZIBAR NI NCHI SIO KAMA UKEREWE. Mkuu wenyewe tupo macho na ni makini. Upo!
 
Mkuu,

Kwa umri wako unakumbuka vyema kuwa Tanganyika ilikuwa ni sovereign state na Zanzibar ilikuwa ni sovereign state, ama nakosea hapa?

Sasa kuna nchi inayoungana na nyegine na kukubali kuwa mkoa?

Au haya ni maajabu ya Tanzania tu?
au wewe unamaana gani kuwa katu Zanzibar hawezi kuwa equal partner na Tanaganyika katika muungano wa Tanganyika na Zanzibar?

kwa mantiki hii pia ni kuwa katu Rwanda na Burundi haziwezi kuwa equal partner na Tanzania katika EAC?
Rwanda na Burundi hawajaomba kuungana. Wao wanataka kushirikiana katika shirikisho la Afrika mashariki. Tanganyika na Zanzibar ziliungana, lakini tulipokosea ni kutozungumzia mizani ya equality. Haiwezekani nchi yenye watu 2.5 millioni ikawa na mizani sawa na watu 41 millioni. Niliwahi kusema kwingineko kuwa California na Rhode Island hawana nguvu sawa katika mwungano wa United States of America. Ni hilo tu. Zanzibar inaweza kuwa na sovereignty yake lakini isilingane na ya Tanganyika.
 
Hakuna Tanganyika! That is the puzzle of this Muungano!
 
Tanganyika ipo. Ipo ndani ya Tanzania. Ukikata mbuga kutoka Songea kuelekea Mwanza unakata mbuga ndani ya Tanganyiko iliyoko ndani ya Tanzania. Ni kama vile baada ya ubatizo unajiongezea jina lingine. That is what happened to Tanganyika.
 
Acheni kufikiria Zanzibar kama Butiama ama Bunda. Nguvu gani hizo mnazozungumza? Kwani California ina senators wangapi kwenye baraza la senate?
California kutokana na ukubwa wake inao maseneta wawili katika baraza la senate.
 
Sema Mzee...
Rhode Island nayo ina maseneta (US Senators) wawili na udogo wake... kwa kiasi kikubwa nakubaliana na CUF ila kuhusu muungano nadhani Zanzibar ingekuwa territory kama ilivyo puerto rico. Bado sijaona sababu za kuifanya Zanzibar kuwa state.
Nitapinga kila kitu kinachohusisha dini kwenye katiba hii ni pamoja na wazo la CUF eti viongozi wa dini kubwa waingie kwenye mkutano wa katiba... for what?
Sasa tunasubiri ya kwenu nyie CHADEMA ili tuangalia pumba na mchele. Mnyika mwanzo... by the way, hongera, your votes was counted.
 
Good to see you man. Umepotea sana. Hata vijana wapya watashangaa huyu Sam ni nani.
 
ukiondoa hiyo bold zilizobaki ni pumba ambazo zitaongeza gharama na migongano isiyo na msingi!
Vunja zanzibar ibaki mkoa, kisha tunabaki na serikali moja!

@ YeshuaHaMelechaYeshuaHaMelechnzibar ifanywe mkoa wakati wana kila kitu chao, kama unaona ni kijisehemu kidogo tu mbona kuna nchi nyingi tu ni sehemu ndogo zaidi ya Zanzibar lkn ni nchi asizulumiwe mtu kama hatuwezi muungano turudi kule kule kwa zamani Zanzibar na Tanganyika kwasababu ukiangalia kuudeep neno Tanzania ni muungano tu wa zanzibar na Tanganyika hakuna kitu Tanzania before
 
eti viongozi wa dini kubwa waingie kwenye mkutano wa katiba... for what?
That is excellent question in pluralistic nation as ours. Watajadili nini na maslahi ya imani zao yanagongana? That will be the beginning of Chaos
 
@ YeshuaHaMelechaYeshuaHaMelechnzibar ifanywe mkoa wakati wana kila kitu chao, kama unaona ni kijisehemu kidogo tu mbona kuna nchi nyingi tu ni sehemu ndogo zaidi ya Zanzibar lkn ni nchi asizulumiwe mtu kama hatuwezi muungano turudi kule kule kwa zamani Zanzibar na Tanganyika kwasababu ukiangalia kuudeep neno Tanzania ni muungano tu wa zanzibar na Tanganyika hakuna kitu Tanzania before
Kwa hiyo kufa kwa Tanganyika sio dhuluma, ila kufa kwa Zenj ni dhuluma? Na kuvunja Zenj nina maana mikoa mitano ya Zenj iwe assimilated kwenye Serikali moja. Kama utaita majimbo au miko kwangu mi naona ni semantics, sio muhimu!
 
Back
Top Bottom