Katiba: Rais wa Jamhuri asichaguliwe direct na wananchi

Kasheshe

JF-Expert Member
Jun 29, 2007
4,694
787
Kwa ilivyo kwenye rasimu zote, mambo ya Muungano sio mambo ambayo yanamgusa mwananchi direct, na pia sio mambo ambayo Wananchi wa kawaida wana-ujuzi nayo! Hivyo si sawa Wananchi wenyewe direct wachague Rais wa Jamhuri.

Napendekeza Rais wa Jamhuri na makamu wake wateuliwe na wajumbe wa baraza la wawakilishi wa Tanganyika na wale Wa Zanzibar!

Aidha Waziri Mkuu au Kiongozi wa Tanganyika na Yule wa Zanzibar ateuliwe kutoka chama chenye wawakilishi wengi!
 
Dah mkuu hoja ni nzuri ila kwa hili chama chemye wawakilishi wengi kitakuwa kina monopolize decisions
 
Back
Top Bottom