Katiba pendekwezwa

NSHOMA FRANCOUS

JF-Expert Member
Feb 14, 2012
698
325
Nimeiiona katiba pendekezwa,wakuu nanyie mmeiona? kurasa za 134 hadi 164 ziko juu- chini, sijaeleawa ndo maelekezo ya Joka fisadi au? Afu suala la msajili wa vyama kwamba awe ajawahi shika nyazifa za juu ktk chama cha siasa ...inamaana msajii anaruhusa ya kua mwanachama wa chama cha siasa! crayz idea!!
 
Back
Top Bottom