KATIBA: OPEN MARRIAGE. It’s Motto – SEX is not an issue, It is a Pleasure!

- wewe na spouse wako inabidi mtambue hakuna cheating katika ndoa yenu. Ila kuna taboo. Hairuhusiwi mpenzi wako awe na mpenzi wa same sex na yeye. Hapo anakuwa amecheat na una haki ya kuwaka moto. Hii ni kuepusha msije mka fall kwa mtu mmoja na kujenga chuki kati yenu. Kwa maneno mengine klorokwini haruhusiwi kumtazama kwa jicho la na kuhusuda Kaunga wangu.

- Wewe na Spouse wako inabidi mtambue watoto hawatakiwi kuhusishwa wala kujua. Mmoja wenu akifanya hivo anatakiwa afunguliwe mashtaka na kupigwa ban ya sex kwa adhabu sio chini ya miezi 6.

:grouphug:

Kaizer kwel haikubaliki au unanitisha sbb uko interested? teh teh teh.

nipe ushahidi nakuja kuungama unipe na ratiba ya maungamo kabitha.

Erotica, ntarudi...
 
Last edited by a moderator:
M'jr hivi ambao wanaji commit huwa wanampango wa kutokua na huyo mtu milele?

hizi kamali ndio hizo ambazo wengine hatuziwezi. bora tu kufuata uhalisia na mantiki.

mantik na uhalisia ni kuwa no mata mnapendana vipi kuchokana ni lazima. mkijua hilo baaaasssi!
Then wait for that time ambayo mtakuwa mmechokana ndio kila mtu aendelee na mipango mingine lakini i am telling you binadamu tumeumbwa na ubinafsi so nobody will ever accept kitu chake kiliwe na mtu mwingine huku akiwa anajua especially love....
 
sawabo respect kwako papito. sijaona watu kuwa na wasi wasi na

magonjwa zaid tu wivu wivu haiwezekani na bla bla zengine. nakataa kutumia neno lako la baadhi.

labda nirekebishe kwa kusema walowengi, ila ni wachache i think ambao wametulia ndoani kwao.[/QUOT

Erotica, matumizi ya neno "baadhi" sikulitumia kumaanisha kutulia kwenye ndoa ila "Kuliwa na kula tigo" kwa maana kwamba wanaofanya huo ufenenge ni baadhi ya wapenzi na wanandoa ambao sio wengi; na ikigundulika jamii huwaona kama watu walipotoka !!! Na hiyo Ndoa Huria ikianzishwa, ni wachache watakaokuwa tayari kutii katiba yake. Lakini kitendo cha kuwa na mpenzi mwingine ilhali mtu ana mke au mpenzi, hicho nakuunga mguu kuwa ni 99% kwa maana kwamba wanandoa na wapenzi walio wengi wanakuwa na uhusiano wa nje.
 
mbona watu wanaingiza mijadala ya 'tigo' amabo haihusiani na hii thread??

on topic: kwenye open marriage unahitaji kujua ngono sio mapenzi.. I love my wife but I can have s.ex with other women provided I tell her prior and she says yes... when I'm with other women, I don't feel anything towards them it's just s.ex
 
Inahitaji moyo wa chuma ama uliokata tamaa! Ndahani umewahi kutana na

mtu hana bahati katika Mapenzi? Hii inaweza mfanya a opt hii kuliko kukosa kabisa.

Kwanini ukate tamaa Erotica? Mbona kila kitu ukitulia utakipatia dawa ya kukipangua? Haiwezekani ukakosa kabisa on this world, Mungu muumba wetu hana roho mbaya na watu aliowaumba
 
Last edited by a moderator:
Ushawahi kuhudhuria ibada za nabii Tito? Niliwahi kukutana naye kona bar anahubiri watu waendeleze libeneke...kweli dunia imeishiwa kama jamaa naye ana wafuasi. Hata hivyo, I dont think kujiingiza kwenye relationship za kifisadi kama hizo Erotica inasaidia...inaujeruhi moyo zaidi kuliko kuutegemeza.
 
Last edited by a moderator:
nimekuwa nikisoma hii kitu tangu 2010, ipo na some couples wanamudu. it's based on the idea sex =/= love... personally i'm old fashioned so i can't do it
Nimewahi ku practise hii kitu. Mambo yalienda vibaya baada ya dame kutoka na rafiki yangu wa karibu. Tulisahau kuweka clause ya kuzuia hili. Inafaa katika age ya ujana tu.
 
Na asiyeweza kati yenu kupata mali ya kuolea wanawake wa kiungwana Waumini, na aoe katika vijakazi Waumini iliyo wamiliki mikono yenu ya kulia. Na Mwenyezi Mungu ni Mjuzi wa imani yenu. Nyinyi mmetokana wenyewe kwa wenyewe. Basi waoeni kwa idhini ya watu wao, na wapeni mahari yao kama ada, wawe wanawake wema, si makahaba wala si mahawara. Na wanapo olewa kisha wakafanya uchafu basi adhabu yao itakuwa ni nusu ya adhabu waliyo wekewa waungwana. Hayo ni kwa yule miongoni mwenu anaye ogopa kuingia katika zina. Na mkisubiri ndio bora kwenu. Na Mwenyezi Mungu ni Mwenye kusamehe na Mwenye kurehemu. (An-Nisaa: 25)
 
Back
Top Bottom