KATIBA: OPEN MARRIAGE. It’s Motto – SEX is not an issue, It is a Pleasure! | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

KATIBA: OPEN MARRIAGE. It’s Motto – SEX is not an issue, It is a Pleasure!

Discussion in 'Mahusiano, mapenzi, urafiki' started by Erotica, Jun 5, 2012.

 1. Erotica

  Erotica JF-Expert Member

  #1
  Jun 5, 2012
  Joined: Apr 24, 2012
  Messages: 2,514
  Likes Received: 4
  Trophy Points: 0
  kutokana na kifungu flani (maloya wengine ni wakupe tukiwapa wataenda kukibadilisha itatolewa tu kwa ruhusa ya loya wangu). Open marriage inaruhusiwa kabisa kwa wanandoa kwa kuzingatia vigezo na masharti.

  Vipengele mama vya Open marriage.
  - Wewe na Spouse hauruhusiwi kuwa na wivu katu. Kama mna wivu haruhusiwi kuingia kwenye hii ndoa. Ni lazima mzingatie hilo toka mwanzo na mtambue sharing is caring.

  - Wewe na spouse mkubaliane kabisa na msaini mkataba kama mimi la my loya klorokwini tulivofanya for future reference. Mapenzi pembe tatu yana madhara yanaweza enda mrama. Hio doc ni ushahidi wenu unawalinda wote wawili. Sharia msumeno, lazima kuwe na ushahidi.

  - Wewe na Spouse wako mnaruhusiwa kuwa na mpenzi mwengine kwa makubaliano kati yenyu wawili. Huyo mpenzi anaweza hata kuhusishwa kwenye shughuli zenu za faragha tegemeana na makubaliano yenu wahusika.

  -Wewe na spouse wako haruhusiwi kubanjuka na huyo mpenzi mwengine zaidi ya siku tatu mfululizo. Anaruhusiwa kukumbushia kama kaona patamu sana mara kwa mara hadi pale yeye mwenyewe atapochoka ila haruhusiwi kuweka kambi hapo. Akiweka kambi adhabu yake not short of kuua.

  -Wewe na Spouse wako mnaruhusiwa kuchukua pesa zenu za akiba mkikwa na mpenzi mpya hasa wakati wa raha ila isizidi thamani ya robo ya hio account yenu. Ila hii chance ana uhuru wa kuitumia mara moja kwa mwaka tu! Hairuhusiwi pale utapopata nafasi ya kuchukua tena baada ya mwaka kutumia na mpenzi huyo huyo.

  - Wewe na Spouse wako mna haki ya kuomba likizo isiyo zaidi ya mwezi mmoja ikitokea mmemkifu na kakuchoka na mnataka damu mupya.

  - Wewe na Spouse wako hamna haki ya kukataa kufanya wakati wowote ule ambao unahitaji kufanya SEX. Haijalishi mpo wapi maadamu hamvunji sharia ya mahala mnataka kufanyia.

  - Wewe na Spouse wako mna haki ya kukuomba kutongozea pale anapokwama kwa kutumia advantage kuwa yeye na Yule anayemtaka mko same sex. Ni rahisi kumuingia.

  - wewe na spouse wako inabidi mtambue hakuna cheating katika ndoa yenu. Ila kuna taboo. Hairuhusiwi mpenzi wako awe na mpenzi wa same sex na yeye. Hapo anakuwa amecheat na una haki ya kuwaka moto. Hii ni kuepusha msije mka fall kwa mtu mmoja na kujenga chuki kati yenu. Kwa maneno mengine klorokwini haruhusiwi kumtazama kwa jicho la na kuhusuda Kaunga wangu.

  - Wewe na Spouse wako inabidi mtambue watoto hawatakiwi kuhusishwa wala kujua. Mmoja wenu akifanya hivo anatakiwa afunguliwe mashtaka na kupigwa ban ya sex kwa adhabu sio chini ya miezi 6.

  - Hakuna divosi kwenye open marriage. Hamna sababu za msingi za kushindwa kuishi pamoja. Hii ndio hasa for beta or wesi till death duz u apart.


  pendaneni, epusheni divosi kwenye ndoa zenu, chagueni open marriage. less stress.


  mwaaaaaaah! teh teh teh :grouphug:
   
  Last edited by a moderator: Jan 4, 2016
 2. Ndahani

  Ndahani JF-Expert Member

  #2
  Jun 5, 2012
  Joined: Jun 3, 2008
  Messages: 14,326
  Likes Received: 1,792
  Trophy Points: 280
  Hakuna kitu kama hicho Erotica...hata simba na wanyama wengine wana taratibu.
   
 3. Erotica

  Erotica JF-Expert Member

  #3
  Jun 5, 2012
  Joined: Apr 24, 2012
  Messages: 2,514
  Likes Received: 4
  Trophy Points: 0
  Ndahani nitarudi baadae tubishane. nakubaliana na wewe kila kitu na taratibu. hizo ndio

  taratibu zake. kwa maneno mengine ni kama huwezi haitakiwi ufanye hivo.

  najua moto utawaka toka kwa watakatifu, na ndio raha yangu,

  sina mchanga wa kutosha kuzimia huo moto saizi, ngoja nikachote na tipa.
   
 4. Preta

  Preta JF-Expert Member

  #4
  Jun 5, 2012
  Joined: Nov 28, 2009
  Messages: 24,113
  Likes Received: 3,036
  Trophy Points: 280
  kweli kabisa....ndio maana nakukubali Ticah....hasa hiyo ya matumizi kwenye penzi jipya na hiyo ya hakuna kukataa tendo la uumbaji....
  chagua lunch wapi leo....huwezi kunikosha namna hii nikakuacha hivi hivi...
   
 5. Preta

  Preta JF-Expert Member

  #5
  Jun 5, 2012
  Joined: Nov 28, 2009
  Messages: 24,113
  Likes Received: 3,036
  Trophy Points: 280
  tatizo wanakataa huku wanafanya.....
  we leta mchanga mi naleta faya eksitingisha....
   
 6. BADILI TABIA

  BADILI TABIA JF-Expert Member

  #6
  Jun 5, 2012
  Joined: Jun 13, 2011
  Messages: 30,873
  Likes Received: 6,227
  Trophy Points: 280
  taratiiiiiiiibu maana nzima ya ndoa inazidi kupotea daily....
  klorokwini akak loya ndo mambo gani haya mmefanya na erotica?
   
  Last edited by a moderator: Jan 4, 2016
 7. s

  sawabho JF-Expert Member

  #7
  Jun 5, 2012
  Joined: Feb 25, 2011
  Messages: 4,502
  Likes Received: 946
  Trophy Points: 280
  U-Cameroon ndivyo unavyoanza !!! Sasa hao watoto wa Ndoa Huria wanakuwa na Wazazi Huria pia ?
   
 8. marrykate

  marrykate JF-Expert Member

  #8
  Jun 5, 2012
  Joined: Mar 4, 2012
  Messages: 589
  Likes Received: 45
  Trophy Points: 45
  he hii tamu kuliko, kumbe 3some inaruhusiwa kwenye ndoa za wazi
   
 9. Ndahani

  Ndahani JF-Expert Member

  #9
  Jun 5, 2012
  Joined: Jun 3, 2008
  Messages: 14,326
  Likes Received: 1,792
  Trophy Points: 280
  Kwani tunafanya na kina nani sasa? Si nyinyi washika dau....ila hiyo ya kuachia kila kitu loose haipo hata siku moja. Wivu lazima upo no matter what...unless watu mmeanza kufuata mafundisho ya nabii Tito anayehubiri kunywa pombe na wanaume kulala na ma housegirl
   
 10. Ndahani

  Ndahani JF-Expert Member

  #10
  Jun 5, 2012
  Joined: Jun 3, 2008
  Messages: 14,326
  Likes Received: 1,792
  Trophy Points: 280
  Hakuna sababu ya kubishana Erotica...ukiamua kufanya hivyo lazima uwe na moyo wa chuma....kama umempenda mtu lazima utakuwa na wivu naye tu...unless umeokokea kwa nabii mmoja anakunywa kunywa hovyo anaitwa Tito
   
  Last edited by a moderator: Jan 4, 2016
 11. Ndahani

  Ndahani JF-Expert Member

  #11
  Jun 5, 2012
  Joined: Jun 3, 2008
  Messages: 14,326
  Likes Received: 1,792
  Trophy Points: 280
  Umeona heee....halafu tunalalamika maisha haya yanakuwaje. Kumbe tunayatengeneza wenyewe kwa raha zetu.
   
 12. Kongosho

  Kongosho JF-Expert Member

  #12
  Jun 5, 2012
  Joined: Mar 21, 2011
  Messages: 36,126
  Likes Received: 303
  Trophy Points: 160
  Duh, hivi nayule atasaini mkataba huu, dayyyym you Erry.Umetuweka kishawishini, penzi si radhi lakini tamaa ni dhaifu.
   
 13. Nyani Ngabu

  Nyani Ngabu Platinum Member

  #13
  Jun 5, 2012
  Joined: May 15, 2006
  Messages: 73,650
  Likes Received: 35,409
  Trophy Points: 280
  Huko sasa ni kutafutiana muhali tu!!
   
 14. Blaine

  Blaine JF-Expert Member

  #14
  Jun 5, 2012
  Joined: Jan 11, 2012
  Messages: 2,285
  Likes Received: 9
  Trophy Points: 0
  nimekuwa nikisoma hii kitu tangu 2010, ipo na some couples wanamudu. it's based on the idea sex =/= love... personally i'm old fashioned so i can't do it
   
 15. M'Jr

  M'Jr JF-Expert Member

  #15
  Jun 5, 2012
  Joined: Jul 8, 2011
  Messages: 3,539
  Likes Received: 152
  Trophy Points: 160
  Erotica,

  Nakupa zoezi moja tu, hapo ulipo fikiria tu kwamba yule mpenzi wako anayekufanya uende staili za kutesa unampigia simu na mara anapokea bi dada tena akiwa anatweta ikimaanisha kinachoendelea huko sio muafaka sana kwa upande wako. Je utajisikia namna gani ndani ya moyo wako?

  Ntakupa mfano mmoja pia, moja ya watu walioko katika mtindo huu wa ndoa ni Will Smith na Jada Pinkett. Kama ni mfuatiliaji wa mambo utakuwa umesikia kwamba miezi kadhaa iliyopita walikuwa na mgogoro uliotokana na wivu baada ya mmoja wao kumuona mwenzie kama anachepuka vile. Pamoja na kwamba kimsingi walikubaliana tangu awali kuwa katika mtindo huo wa ndoa lakini "vigezo na masharti vinaonekana kuwa vigumu kwa wote wawili.

  Mantiki yangu hapa ni kwamba inawezekana katika hatua za awali mkawa na makubaliano hayo, lakini kwa kuwa moyo hauko computerized, mnapoendelea kuishi pamoja mapenzi hujengeka, mapenzi yanapojengeka huumba wivu (Ni moja ya matendo wanasayansi wanayaita involuntary kama sijakosea) na pale inapofikia hapo theres no signed contract apply tena.

  Mwisho nasema hivi, "if you feel like you dont wanna be with someone for long, never put any commitment"
   
  Last edited by a moderator: Jan 4, 2016
 16. M'Jr

  M'Jr JF-Expert Member

  #16
  Jun 5, 2012
  Joined: Jul 8, 2011
  Messages: 3,539
  Likes Received: 152
  Trophy Points: 160
  Kongosho, hivi umeandika kichina hapo au?
   
  Last edited by a moderator: Jan 4, 2016
 17. s

  sawabho JF-Expert Member

  #17
  Jun 5, 2012
  Joined: Feb 25, 2011
  Messages: 4,502
  Likes Received: 946
  Trophy Points: 280
  Chanzo cha kusingizia Mitaa kuwa inazaa watoto; maana utasikia watu wanasema kuwa kuna Watoto wa Mitaani; tangu lini Mtaa wa Ohio ukawa na uhai wa kupata mimba, kuzaa na kulea watoto ? Kama chanzo sio hizi ndoa huria ambazo watu wanavuta utamu bila kufahamu na kujali matokeo yake ?
   
 18. Ambitious

  Ambitious JF-Expert Member

  #18
  Jun 5, 2012
  Joined: Dec 26, 2011
  Messages: 2,125
  Likes Received: 120
  Trophy Points: 160
  Mchagua jembe si mkulima lakini bora nihamie sekta nyingine kabisa..:whistle:
   
 19. Ndahani

  Ndahani JF-Expert Member

  #19
  Jun 5, 2012
  Joined: Jun 3, 2008
  Messages: 14,326
  Likes Received: 1,792
  Trophy Points: 280
  I am also old fashioned than those sicilian chaps...
   
 20. Kaunga

  Kaunga JF-Expert Member

  #20
  Jun 5, 2012
  Joined: Nov 28, 2010
  Messages: 12,591
  Likes Received: 797
  Trophy Points: 280
  Erotica naomba ufafanuzi kidogo hapo kwenye bold, naona dalili ya uchoyo hiyo imeanza!

  About the whole thing ya Open Marriage; inakuja kwa kasi siku hizi. Nilikuwa naongea na friend of mine, Mrusi kaoa Mmarekani (nafikiri kwa ajili ya makaratasi) yaani anawish sana wangekuwa na arrangement hiyo. Aisee mimi na miwivu yote hii, sidhani kama nitaweza labda nisipende.

  Kwa wanaoweza ni bora kuliko kuumizana kwa cheating zisizoisha. Kwa sababu kama ni dhambi kwa kucheat bado unafanya dhambi. Ila kama kuna watoto, l am sure hamtakuwa mnawaangalia kwani kila mtu atakuwa anakimbia kutafuta new excitement somewhere! LOL
   
  Last edited by a moderator: Jan 4, 2016
Loading...