Katiba ni mali ya watanzania sio kikundi au chama fulani isihodhiwe

Mhere

Member
Dec 30, 2013
17
0
Napenda kuchukua fursa hii kumshukuru mwenyekiti wa tume ya Katiba Jaji Waryoba kwa kukamilisha rasimu ya pili ya katiba. Leo kazi imebaki kwa bunge la katiba mimi rai yangu kwa bunge la katiba naomba lifanye kazi kwa maslahi ya Watanzania wote sio vyama vyao ama vikundi vyao asanteni.

Nawasilisha
 

Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom