Katiba ni mali ya wananchi

Malick M. Malick

JF-Expert Member
Apr 2, 2013
647
304
KUNA BAADHI YA VIONGOZI wanaona jambo la katiba ni lao wao na wanaweza kuwachagulia watanzania wanachotaka wao eti ndo sauti ya wananchi,Wanatoa kauli mbalimbali kwamba watawaambia wananchi waikatae,UNAMWAMBIEJE MWANANCHI AKATAE RASIMU YA KATIBA wakati kila mtu amepewa uwezo wa kufikili,tuwe waangalifu wazo lako libaki kuwa lako,USISHAWISHI WANANCHI WENGINE WAWAZE KAMA WEWE,kuna baadhi ya viongozi na wanaharakati na wanasiasa wanajifanya wanawaza kwa niaba ya wananchi,MSITANGULIZE MASLAI YENU,katiba ni ya kizazi cha leo na cha kesho,kila mtanzania ana maoni yake juu rasimu hii iliyotoka JUNI 3,najua imekuwa sapraiz kwa watu ambao maslai yao yameguswa,,,,,,,!
nampa eshima yake mzee WARIOBA naamini kuna watu wanatamani wangekuwa na uwezo wakawa wanaingia ingia jikoni(TUME)ili wapitishe matakwa yao,,,,,,,,!nawapongeza wajumbe wote kuwa wasiri na kutunza eshima ya TAIFA
 
safi sana wazazi wangu mliotuletea rasimu ya katiba mpya...waryoba na wenzako najua mmeona mbali na ukizingatia nyie ndo hivyo tena mnaelekea kupumzika mtuachie kazi vijana na tuweze kuwalea vyema wazazi wetu na kama mnetuletea rasimu mbovu basi hata nyie malezi yenu ya uzeeni yangekuwa mabovu tungewajibu mlijiandalia wenyewe hali hii na ndo maana mnapata shida na uze wenu.
 
Back
Top Bottom