Katiba Mpya

jakarason1974

Senior Member
Apr 3, 2012
103
50
Upinzani bila Katiba Mpya Msitegemee Kuishinda CCM na wakubali Kuachia Madaraka... Huu ndio Muda wa Kudai Katiba Mpya..... Tatizo la Viongozi wengi wa ccm ni kwamba wanategemea siasa kuendesha Maisha yao, Ukiwaondolea Siasa Wanachama wengi wanakuwa omba omba maana hawana Kitu kingine cha kufanya..
 
Upinzani nao harakati nyingi mdomoni tu na magazetini, amani kwa Godbless Lema huko alipo huyu jamaa sio muoga!
 
Back
Top Bottom