Katiba mpya ya nini?

illegal migrant

JF-Expert Member
Oct 18, 2013
1,277
1,119
Kwa yeyote atakayosoma uzi huu naomba ahakikishe ameuelewa kabla ya ku changia, kumekuwa na kilio cha wengi kuomba mabadiliko ya katiba ile ya mwaka 77, wiki kama mbili zilizopita ilitoka ripoti ya utafiti kutoka taasisi ya OSIEA ambayo alikabidhiwa waziri wa katiba na sheria ikionyesha asilimia hamsini + hawaelewi chochote kuhusu katiba hii ikijumuisha wale wasiojua kabisa katiba ni nini, pili kumekuwepo na tuhuma nyingi kwamba katiba iliyopo haifuatwi,
Swali la msingi ni, kama zaidi ya asilimia 50 hatujui chochote kuhusu katiba, na kama katiba iliyopo tunadai haifuatwi kuna umuhimu wowote wa kuendelea kudai katiba mpya?
 
Back
Top Bottom