Katiba Mpya ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania

bhokesa

Senior Member
Feb 23, 2018
138
250
NI muhimu tukusanye sahihi za wananchi 10milioni ili tupeleke petition mahakamani kudai mchakato wa katiba kukamilishwa.

Wadau hili si la cdm wala ccm. Ni haki ya watanzania wote kwa ajili ya kuhakikisha tunatawaliwa kwa haki na amani na kuwa serikali zetu ziwajibike kwetu.

Katiba mpya itahakikisha uhuru wa mihimili ya dola na kunakuwepo na demokrasia pana hasa uhuru wa kiraia na vyombo vya habari.

Haki ya elimu bora na haki ya kumiliki rasilimali zetu kwa maendeleo endelevu ya vizazi vyetu.

Leo nani anajua kesho yake?
 
Wakutuunga mkono wapo. Kazi yetu sahihi tu
 
Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom