katiba mpya ya chitchat

Chimbuvu

JF-Expert Member
Jul 17, 2012
4,401
2,333
Spika wa bunge chitchat Madame B mkuu wa protokali chitchat manoah mwenyekiti wa cc mahusiano Baba V
rais wa shirikisho la chitchat nchini Arushaone na waheshimiwa wengine,
napenda kutoa maoni ya wanachi wa chitchat kuhusu katiba mpya na mamlaka ya tume ya katiba mpya chini ya Ruttashobolwa kama ifuatavyo
1. mwenyekiti mahusiano awe anachaguliwa kila baada ya miezi 4,kwa sasa kiti anacho Baba V
2.mishahara ya walinzi wa chitchat iboreshwe eg. St. Paka Mweusi
3.shindano la miss chitchat lirudishwe chini ya udhamini wa Watu 8 na lundenga
4.Ndoa za JINSIA MOJA MARUFUKU eg. ...........
5.ZINDUNA TALK SHOW ibinafsishwe iwe CHARMINGLADY talkshow baada ya muhusika kufilisiwa na saccos
6.wananchi wawe na uwezo wa kupiga VOTE OF NO CONFIDENCE kwa mwenyekiti wa mahusiano
7.Rais ana mamlaka ya kuwavua mamlaka wote walio chini yake na kuwapiga BAN na kumteua Chimbuvu kuwa kiongozi wa mpito
8.DR. Slaa wa chitchat manoah ambaye anataka kumng'oa Baba V apewe ulinzi shirikishi baada kuvamiwa na majambazi na kula chakula chote.

zaidi ya hapo nimeleta haya maoni myazungumzie kabla hatujaiwasilisha kwa rais mteule Arushaone kwa kuwekewa sahihi ili iwe katiba mpya rasmi.
ndugu waheshimiwa na tuvocha msisahau kuniwekea katika simu sio kubip tu wajameni
karibuni kwa maoni yenu katiba mpya mnataka iweje
 
Last edited by a moderator:
Ili uwe Mshenga lazima uwe na mke kuzuia mshenga kumgegeda mwali mtarajiwa.
 
Back
Top Bottom