Katiba Mpya-Watanzania tusikubali udikteta wa CCM

simplemind

JF-Expert Member
Apr 10, 2009
16,409
9,183
Lengo ni kupata katiba ya wananchi na siyo ya CCM. Njiani kuelekea katiba mpya CCM imeweka kila aina ya vipingamizi,vikwazo , fitina, vitisho,rushwa na ghilba. Tusife moyo lengo ni moja tu-katiba ya Wananchi. Mungu ibariki Tanganyika Mungu ibariki Zanzibar.
 
Back
Top Bottom