KATIBA MPYA: Wananchi wajipanga kuanzisha Kikosi kazi chao kuhakikisha Katiba Mpya inapatikana kabla ya 2025

We nyoko sana, nadhan ujinga huo wako ungemuadithia mamayo tu ndio atakuelewa.
Mngejua watu wana kiu ya pesa uku mtaani msingeangaika na katiba.

Katiba inaletaje maisha mazuri kwa mtanzania wa hali ya chini??

Success story ya katiba iliyoleta maisha mazuri ni nchi gani? Dubai? Singapore? Qatar?
 
Kwan katiba ni mali ya hicho kimama chako kikatili au ni ya wanachi akiwemo na yeye?????

We farasi tena sana tu
Mnaanza tena??? Sasa sijui tutawaomba viongozi wa dini tena wakamuombe mama tena. Jamani, tafuteni hoja za msingi msimchokoze Rais.
 
Mnataka kuanzisha kikundi cha kigaidi muharibu amani yetu eti ee,tunawaangalia tu mnavyo washwa washwa na mmemisi segerea na ukonga,hakuna mwananchi mtamuona kwenye hayo maujinga.
 
Nilipita kwenye majumba ya Benjamini kule Lushoto na makada wenzake. Ni majumba ya kifahari sana yapo maporini sana lakini hakuna wajukuu Wala watoto wa damu yake wanaoyakalia.
CCM ni walafi sana.

Bora hizo fedha nyingine angejenga Hospitali ya Bure. Ok, heri angekuwa na wake wanne na watoto 20 lingekua ni jambo jema.

Watawala achaneni na hii katiba mnayoilinda Kwa sababu TU inawapa maslahi makubwa bila kuhojiwa Wala kuulizwa. Mtaviacha wakati mtakapodhani kuwa mmejilimbikiiza na mnapumzika kula Bata. Mtaliwa na Bata.
Tendeni haki na muwe na utu Kwa wananchi bila kubagua.

Kikosi kazi kipatikane halafu tujue idadi yake Kisha tutajipanda wananchi Mili 10 tuchange Bil.100.
Wawaumbue wale Mafuropesa na akina Tozi Bweka wanawazi kupata pesa wasaliti vizazi vya mamilioni ya Watanzania.

Wataomba poo watakapoona wananchi Mili. 10 wamechanga kila mmoja kiasi Cha kuanzia 5000 mpaka 50000/ -
Nikiona Jenerali Ulimwengu yupo, Warioba, Askofu Mwamakula ,Askofu Bagonza na yule Katibu wa Baraza la Maaskofu, Lema, Lisu , Maria Sarungi, Shangazi Kipenzi Fatma Karume na Yule mwenyekiti wa Wazee wa Chadema n.k Hakika nitachangia Kwa nguvu zote.
 
Wameitumia ipasavyo kulamba asali mpaka sasa Mbowe kimya😂😂😂 na vijana wake kawaambia muache usumbufu hali ni shwari sasa
Bado hawatambui kwamba vitisho havina nafasi tena Tanzania, hawa watu sijui akili zao zikoje.

Wametishia Ugaidi, wakaona watu hawatikisiki.

Hii ni mikiki ya mwisho mwisho, ndiyo maana unaona Maza Mizinguo anachanganyikiwa kabisa hajui afuate lipi. Iliyobaki sasa ni kuachia tu.

CHADEMA ni lazima wakazie hapo hapo. Hii ajenda ya Katiba Mpya wamepewa kama zawadi kwao.
Wasikose kuitumia ipasavyo.
 
Mnataka kuanzisha kikundi cha kigaidi muharibu amani yetu eti ee,tunawaangalia tu mnavyo washwa washwa na mmemisi segerea na ukonga,hakuna mwananchi mtamuona kwenye hayo maujinga.
Kwenye hiyo movement inabidi wapumbavu kama wewe muanze kuvunjwa miguu sababu akili zenu zimeshakuwa lemavu.
 
Mngejua watu wana kiu ya pesa uku mtaani msingeangaika na katiba.

Katiba inaletaje maisha mazuri kwa mtanzania wa hali ya chini??

Success story ya katiba iliyoleta maisha mazuri ni nchi gani? Dubai? Singapore? Qatar?
Hivi una kiwango gani cha elimu wewe, tuanzie hapo? Eti "Katiba inaletaje maisha mazuri kwa mtanzania wa hali ya chini??"
Unajua maana ya KATIBA?
 
Umelima mahindi yako halafu Serikali inakunapangia bei na soko, hapo utapataje hiyo pesa? KATIBA MPYA ni muarobaini wa UHALIFU wote wa CCM, umeelewa sasa we kilaza?
We bonge la ticha mwanangu!!. Hata taahira kwa mfano huu lazima aelewe!! Big up Jimbi !!
 
Umelima mahindi yako halafu Serikali inakunapangia bei na soko, hapo utapataje hiyo pesa? KATIBA MPYA ni muarobaini wa UHALIFU wote wa CCM, umeelewa sasa we kilaza?
Kama kungekuwa na Katiba Bora mgogoro wa Ngorongoro na wamasai ungeshaisha kitambo sana.
 
Hivi una kiwango gani cha elimu wewe, tuanzie hapo? Eti "Katiba inaletaje maisha mazuri kwa mtanzania wa hali ya chini??"
Unajua maana ya KATIBA?
Kwahiyo hujui uhusiano pamoja na kuwa unaamini wewe ni msomi mzuri? Unadhani Ulaya na marekani wana katiba kama ya Uganda na Rwanda?
 
Hii ndio taarifa inayotembea mitandaoni kwa sasa, hasa baada ya kikosi kazi cha serikali kinachoongozwa na Profesa Mukandala kusoma mapendekezo ambayo hayafahamiki yalikookotwa.

Mukandala huku akitetemeka (Ishara ya uongo), amependekeza kwamba mchakato wa Katiba mpya uanze baada ya Uchaguzi mkuu wa 2025, bado wananchi wanajiuliza ni wapi alikopata maoni hayo na ni nani waliohojiwa na kinachoitwa Kikosi kazi kilicho chini yake kilichojaa Mamluki wachumia tumbo.

Bali sasa Wananchi wa Tanzania kwa umoja wao wanapanga wiki ijayo kutangaza Kikosi kazi chao kitakachosimamia mchakato wa Katiba Mpya, inayopaswa kukamilika kabla ya uchaguzi mkuu wa 2025, gharama zote zitalipwa na Wananchi Wenyewe.

KATIBA MPYA NI SASA, SIYO BAADA YA 2025

View attachment 2159876
Ni Kweli Nchi inahitaji KATIBA mpya halipingiki.

Timeframe ya upatikanaji wa KATIBA mpya haupaswi kuwa fixed kwamba b4 2025 Baas!!!!

Wanasiasa wanadai Katiba mpya bt JICHO likiangalia uchaguzi 2025,

Huko nyuma tuliingia ktk mtego tukauingia mkenge kuruhusu Uchaguzi ufanyike Kwa HADAA kuwa Rais Ajaye atakamilisha mchakato, nn kilitoka? Majibu tunayo.

Kama Kweli Tunajua umuhimu wa KATIBA mpya kukubaliane;

Hapatakuwa na UCHAGUZI wowote, uwe wa mitaa au Ule mkuu Hadi kwanza tukamilishe Uandikwaji wa KATIBA mpya.

Mchakato uanze mapema, Judge Warioba ateuliwe na AAPISHWE Ili amalizie KAZI aliyoianza.

Ameeeeen.
 
Hii ndio taarifa inayotembea mitandaoni kwa sasa, hasa baada ya kikosi kazi cha serikali kinachoongozwa na Profesa Mukandala kusoma mapendekezo ambayo hayafahamiki yalikookotwa.

Mukandala huku akitetemeka (Ishara ya uongo), amependekeza kwamba mchakato wa Katiba mpya uanze baada ya Uchaguzi mkuu wa 2025, bado wananchi wanajiuliza ni wapi alikopata maoni hayo na ni nani waliohojiwa na kinachoitwa Kikosi kazi kilicho chini yake kilichojaa Mamluki wachumia tumbo.

Bali sasa Wananchi wa Tanzania kwa umoja wao wanapanga wiki ijayo kutangaza Kikosi kazi chao kitakachosimamia mchakato wa Katiba Mpya, inayopaswa kukamilika kabla ya uchaguzi mkuu wa 2025, gharama zote zitalipwa na Wananchi Wenyewe.

KATIBA MPYA NI SASA, SIYO BAADA YA 2025

View attachment 2159876
Katiba ya waeioba ipo.. isifanyiwe amendment yoyote ile
 
Back
Top Bottom