KATIBA MPYA: Wananchi wajipanga kuanzisha Kikosi kazi chao kuhakikisha Katiba Mpya inapatikana kabla ya 2025

Katiba ya waeioba ipo.. isifanyiwe amendment yoyote ile
Usichanganye Rasimu na Katiba PENDEKEZWA.

Rasimu ya Judge Warioba ndo ilikuwa na maoni ya wananchi, Alipoikabidhi wahuni walichakachua hivyo Katiba PENDEKEZWA ni mbovu kuliko hii tulionayo sasa.

Tunataka JUDGE Warioba ailete Ile RASIMU kabla ya kukabidhi ndo Tuanzie mjadala hapo.

Ameeeeen.
 
Umelima mahindi yako halafu Serikali inakunapangia bei na soko, hapo utapataje hiyo pesa? KATIBA MPYA ni muarobaini wa UHALIFU wote wa CCM, umeelewa sasa we kilaza?
Makosa ya kiufundi huanzia hapa, unaanzaje kumuita kilaza?

Je unaona hutomuitaji ,umeamua kumuacha , mwisho wa safari utakua umeacha wangapi?
 
Hao Akina mkandala na viongozi mamluki wa vyama vidogovidogo ambavyo havina hata mbunge mmoja Bungeni "Kama Akina HAMADI RASHIDI,Shibuda n.k.Ni kwa vipi Hawa jamaa ni wawakilishi wa wananchi ?SERIKALI YETU TAFADHALI,TUNAWAOMBA MUWE SERIOUS KWENYE MAMBO SERIOUS Na MAKINI YA WANANCHI.MSILETE UTANI KAZINI.Mkumbuke wananchi ndio waajiri wenu.Msijaribu kuwaamsha Hawa Watanzania ambao kwa Sasa wamelala,msije mkalala nyie.[/QUOTE]

Kutokua na wabunge wanakosa uwakilishi Bungeni, lakini haiwanyimi uhuru wao kama Wana Nchi, lakini pia kama niviongozi wapo wanao waongoza.

Hilo meno mamluki sio neno la kiungwana.

Tena Shibuda nikiongozi wahao wenye vyama hata vyemye wabunge.
 
Back
Top Bottom