Katiba mpya ni ya tanganyika au tanzania? | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Katiba mpya ni ya tanganyika au tanzania?

Discussion in 'KATIBA Mpya' started by LUKAZA, Dec 25, 2010.

 1. LUKAZA

  LUKAZA Senior Member

  #1
  Dec 25, 2010
  Joined: Nov 30, 2010
  Messages: 136
  Likes Received: 55
  Trophy Points: 45
  Ukweli Lukaza napata mashaka juu ya kelele za kila siku ambazo wanaojifaya wasomi hukaa katika vyombo vya habari na kujifanya wachambuzi wa umma wote. wakajifanya wanamapenzi na wanyonge kumbe wizi mtupu wapo kwa maslahi yao tu.

  hivi hawa wanaojiita wasomi wanchotaka katiba mpya ipi? ya Tanganyika au Tanzania maana kwa hali hii ukweli hawajuwi wanachokitafuta ila kama katiba ya Tanzania si Ipo why sasa wasililie katiba ya Tanganyika ndio iliyokuwa haipo halafu ndipo wakataka maboresho ya katiba ya Tanzania hawahisi kuwa hawajui na wanajiona kuwa wanajua.

  Ukweli wananchi kwa sasa hata kama itakuja katiba mpya ya Aina gani bado haitawasidia hata kidogo. bali kuwanufaisha hao wanaojifanya wateteze wa wanyonge tu hebu naomba mwanajamii afikirie yeye mwenyewe kwa upeo wake ktk jamii inayomzunguka. mwanasiasa gani ambae hata katika mazingira yanayomzunguka amefungua japo Kaji ka Shule au Hospital au Kisima au Shamba ambalo linalimwa kwa kuwasaidia wanyonge ambao mlo 1 kwa siku unakua shida kwao.

  hii bwana watanzania hatudanganyiki Nyiki mnatufanya watanzania kuwa ni wajinga sana hatuelewi chochote mnachotaka nyinyi kuwa kama hao wanaotuibia sasa nanyi muwe kama wao tu.

  Ukweli nchi kama Tanzania kwa sasa si ya kulilia kutengeneza katiba mpya kinachohitajika kama ni hivo marekebisho tu ya katiba
  Angalia hasara Tanzania inayoingia wakati wa uchaguzi na inafanana na kutafuta maoni katika kuaanda hiyo katiba mpya na laiti pesa hizo kama tutaamua kufungua kituo cha afya tunaweza kufungua katika vijiji visivyopungua 500 huo ndio ukweli.

  hivi nchi kama ya tanzania kweli ni nchi ya kuwa maskini kama tunapata viongozi wanaojali maslahi ya wananchi wake hivi raslimali watu tuliopo. rasilimali za madini yaliyokuwepo, rasilimali ardhi , bahari du inatia uchungu ila wakumbuke kuwa siku mpya inakuja (Maisha baada ya Kufa)wataulizwa walichotutendea mbele ya muumba.

  WATANZANIA HATUTAKI KATIBA MPYA TUNACHOTAKA MAENDELEO RASILIMALI ZETU ZITUNUFAISHE WATANZANIA WENYEWE. TUMECHOCHOSHWA NA KELELE ZA WANAOJIITA WASOMI UCHWARA. NA VYOMBO VYA HABARI MSIKULI KULISHWA NA KUSHABIKIA HASARA KWA TAIFA HATUTAFIKA MBELE.
   
Loading...