Kajiarashid
Member
- Jun 2, 2021
- 69
- 27
MAISHA:
Neno hili MAISHA ni mfumo wa namna binadamu duniani, atende kama alivyo agana na Muumba wake Mungu.
Lakini kuishi kivingine, hiyo namna nyingine sio maisha. Huwenda tukaiita Unyama, Upuuzi n.k.
Maisha safi, ni vitu vitatu KUVISHIKA. Navyo ni~
1) Uaminifu,
2) Heshimu na
3) Utii.
Kushika vitu hivi vitatu, ndiyo dini YETU watu weusi. Dini ya Manabii wa Mungu. Nayo huitwa UNYENYEKEVU. Neno hili unyenyekevu kwa kiarabu, ndio UISLAMU. Na kwa Kigriki ndio UKRISTO. Kwa akijapani ni USHONZI. Kwa Kihindi ni UHINDU. Na kwa lugha za mataifa (makabila) yetu ndio majina ya makabila yetu. Ukisema mimi ni Mpare, au Msukuma, au Mgogo, umesema kwa Kiarabu u muislamu. Kwa maana ya mtu ambaye Mfalme wake ni Mungu.
Haya hupatikana na kufikiwa ikiwa jamii imewezeshwa na Muumba wao Mwenyezi Mungu.
UWEZA:
Mungu ndiye Muweza. Na katuwezesha wanadamu kwa UTATU MTAKATIFU. Yesu akauita UZIMA MILELE Yoh 17:3.
1) kumjua Mungu wa pekee [KATIBA],
2) [KATIBA isadikishwe] na
3) Mjumbe Wake apigiwe kura za ndio.
Muhammad akauita QISTWI (UHAI Q8:24) Q57:25
1) KATIBA,
2) IKULU YENYE DINI / MILA na
3) AMIR.
Kwa kuushika utatu huo mtakatifu, mambo ya watu na jamii yataenda sawa kwa kuwrza kutenda.
HISTORIA:
Babu zetu weusi wakaushika utatu MTAKATIFU kwa hima kubwa-
1) mila,
2) desturi na
3) jadi.
Wakaweza kujitawalia mambo yao kwa miiko, sheria, sharia, amri na hukumu, kuzishika na kuzifuata.
Siri ya kuwezeshwa na Mungu watu kuweza kutenda SAWA, Wazungu waliijua. Na basi, ili wazungu wakoloni wafanikishe dhulma yao juu ya mataifa yetu, tusijue namna ya KUISHI; ule utatu mtakatifu babu zetu waliokuwa wameuumia magego, ndicho kitu cha kwanza wakoloni walicho kipa jina baya -Ushenzi.
Wakasema mila zenu ni za Kishenzi. Tukazitupa MILA pamoja na DESTURI na JADI zetu bila ya kuzivhunguza kwanza. Na tumebaki na akili hiyo hiyo, hadi Leo. Kumbe TULITUPA UWEZA.
Na kibaya zaidi wametusomesha mpaka tumeelewa na kukubali kuwa nchi, chama na serikali havina dini. Mbona wao wana dini za mataifa yao.
UTATU MTAKATIFU WA INCHI:
Leo kama nchi tumeshikishwa utatu MTAKATIFU ambao Mungu hajautolea dalili kwa jina LA MIHIMILI YA NCHI isiyo na dini~
1) katiba/serikali,
2) bunge na
3) mahakama.
Utatu huu una shida. Hautupi UWEZA. Kwa maana vijana huhitimu vyuoni na mashuleni, lakini hawana UWEZA wowote kimaisha. Na hata vijana hudiriki kudai kuwa hawawezi kuoa. Hii ni kwa sababu mihimili ya nchi waliyofunzwa ni KANAMUNGU, Ambaye ndiye MUWEZA. Kwa hiyo jamii, imenyimwa Muwezeshaji.
KUMBE MUNGU WETU, NDIYE MUWEZESHAJI:
Mungu ni nini?
Mungu ni like NENO
Rejea Yoh 17:3. Hapo kwanza kulikuweko neno. Naye neno alikuwa kwa Mungu. Naye neno alikuwa MUNGU.
NENO NI NINI?
Itaendelezwa inshaallah