Vimbelembele au vihio vya CCM vinasambaza itikadi mbaya sana eti kila kitu cha Katiba wanakielekeza kwa CHADEMA.
Faida ya Katiba mpya ni faida kwa Tanzania wote tena jambo hili halihusiani na chama chochote, kama Mtanzania Mzalendo ni haki yako kutaka au kudai au Kutodai.
Suala la katiba mpya tuseme tu linaongozwa na uwepo wa vyama vingi vya siasa, kwani akina Warioba, Polepole na wengine mfano wao ni wa kutoka CCM na waliunga Katiba mpya kwa marefu na mapana.
Kuikataa Katiba mpya hakutoomiza wale wanayoitaka bali hata hao CCM ambao wana mrengo wa kuikataa, kuichelewesha na hata kuizodoa, hata Rais majukumu mengi aliyokuwa nayo ni mzigo lawama zote zinamuangukia yeye na ndio ukaona wengi wa viongozi waliopita huishia jela pale utawala utapo angukia kwa chama chengine.
Samia usikubali kuingia katika mtego wa kuichelewesha au kuikataa mchakato wa Katiba umalizwe maana tiyari rasimu ipo na haina chenga.