Katiba Mpya ni sasa. Rais hapaswi kuwapangia wananchi muda wa kuandika Katiba

The lost

JF-Expert Member
Jul 3, 2017
2,695
8,209
Katiba ni muongozo wa kitaifa wa namna maisha ya raia na wanachi wanapaswa kujitawala. Inakuwaje rais Samia anataka kuwa ndiyo msemaji wetu na mtu mwenye kutaka kuamua katiba yetu iwe vipi na ipatikane lini? sipendi kuwa na viongozi wenye mlengo wa kitemi. Aache muda wa sasa utupatie katiba.

#katiba mpya ni sasa
The lost
 
Italatikana kwa amani au kwa shari bensaanane na watoto wa magu wana haki sawa
 
Katiba ni muongozo wa kitaifa wa namna maisha ya raia na wanachi wanapaswa kujitawala. Inakuwaje rais Samia anataka kuwa ndiyo msemaji wetu na mtu mwenye kutaka kuamua katiba yetu iwe vipi na ipatikane lini? sipendi kuwa na viongozi wenye mlengo wa kitemi. Aache muda wa sasa utupatie katiba.

#katiba mpya ni sasa
The lost
Katiba mpya ni sasa
 
Asingeupata urais kwa katiba mpya, labda urais kwa serikali ya mpito miezi mitatu, sita.

Katiba mpya ni muhimu sababu utajua pesa yako inavyotumika,viongozi wako wanavyochaguliwa, huduma uzapo pata kama Mtanzania, mlipa kodi. Kiufupi italeta uwajibikaji.
 
Katiba mpya mbona ipo haijaanza kutumika tu. Iletwe ianze kutumika, bahati mbaya chadema na wenzao walisusa kwenye kuitunga
 
Katiba ni muongozo wa kitaifa wa namna maisha ya raia na wanachi wanapaswa kujitawala. Inakuwaje rais Samia anataka kuwa ndiyo msemaji wetu na mtu mwenye kutaka kuamua katiba yetu iwe vipi na ipatikane lini? sipendi kuwa na viongozi wenye mlengo wa kitemi. Aache muda wa sasa utupatie katiba.

#katiba mpya ni sasa
The lost
Endelea kupiga zogo
 
Ripoti ya CAG ndiyo inachochea katiba mpya baada ya kuona wanaccm wanachota matririoni ya kodi za wananchi, CCM inaona nia ovu ya kutaka kuwaondoa kwenye ulaji hivyo watatumia mbinu za mabavu zote kuipinga.
 
Katiba mpya mbona ipo haijaanza kutumika tu. Iletwe ianze kutumika, bahati mbaya chadema na wenzao walisusa kwenye kuitunga
Katiba mpya sio mzaha au dhihaka.
Panga safu ya Warioba hao washenga akina Makonda and daughters hawatakiwi kuandika katiba,hao Ndugai waliosema unataka usitake ni wakuweka mbali.
Hao wenye porojo bila ridhaa ya wananchi nao wakae pempeni.
Rasimu ya Warioba ndio ipelekwe kwa wananchi waipigie kura FULL STOP.
 
Back
Top Bottom