Alphonce Kagezi
JF-Expert Member
- Sep 29, 2015
- 327
- 157
Kulingana na hali ilivyo kisiasa kijamii kiuchumi Tanzania na Duniani kwa ujumla Ni mda sahihi sasa mchakato wa rasmu ya Mh Jaji J Walioba .Ilejeshwe maoni yangu .
Mchakato huo kwa kuwa rasmu ya Walioba ipo sasa Watalaam wa Sheria walioko kwenye mfumo wa umma (majaji,Mawakili wa selikali) na walioko nje ya mfumo ambao wana upeo mpana wa maswala ya kisheria wahusishwe na Walioko vyama vya siasa wachache wahusike na taasisi zilizoko nje ya mfumo wa kiselikali pia zihushwe kuteua wa wakilishi wao.
Walao wenye upeo wa maswala ya kisheria wa maeneo yote waki jumuishwa kwa pamoja wasiwe chini ya 10 na wasiwe zaidi ya 15.naamini wanaweza kuifanyia Tanzania kitu kizuri sana kwa kutayalisha Katiba Mpya ya Tanzania kulingana na mahitaji yaliyoko.