Katiba mpya ni mali ya wananchi

KIBESENI

JF-Expert Member
Jul 7, 2011
339
268
Wana jamii vipi, mbona kimya ivo. Mmelidhika, hamhitaji katiba mpya? Katiba mpya tena yawalioba, ni mali yetu wananchi tuidai kwanguvu zote.
AMKA MWANA WA NCHI. KATIBA. MPYA NI HAKI YETU. ASIYEDAI SIO MZARENDO.
 
Back
Top Bottom