Katiba Mpya na Ukimya wa Wazanzibari

Mkipiga kura ya hapana tunarudi kwenye Katiba ya Mwaka1977, maisha yanakwenda tu, no problem!!

Inakubidi ahali yangu ufikirie nje ya box na SIO KUKURUPUKA.

Kumbuka kuwa NIA ya JMTz ilikuwa ni kupata katiba mpya yenye matakwa yatakayoendana na wakti na ndio maaana imetumia mapesa mengi sana kuisaka katiba hiyo.

Sasa kwa msingi huo KUKOSEKANA KWA KATIBA HIYO MPYA litakuwa pigo kwa JMTz.

Lakin pia mkirudi kwenye katiba yenu ya 1977. Znz itaendelea kupeta na katiba yake ya 2010 yenye kubainisha Znz ni nchi na ina mipaka yake kama ilivyoainishwa katika katiba ya Znz.

Pole sana

 
Back
Top Bottom