Katiba Mpya Na Mtikisiko Wa Tz | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Katiba Mpya Na Mtikisiko Wa Tz

Discussion in 'KATIBA Mpya' started by TumainiEl, Jan 3, 2011.

 1. T

  TumainiEl JF-Expert Member

  #1
  Jan 3, 2011
  Joined: Jan 13, 2010
  Messages: 2,890
  Likes Received: 1,647
  Trophy Points: 280
  Upo msemo usemao panapofuka mosh hapakosi kuwaka moto au kufuka moto. Taifa hili tumekuwa na aman ya muda mrefu lakini sasa tunapaswa kujuwa katiba hii tunayo ihitaji inamambo makubwa mawili, either kutupa amani tulio kuwa nayo ama kupigana vita. Nasema haya maneno kwa vile kwa miaka kadhaa ktk hii ya sasa imekuwa ya faida kubwa kwa ccm na waporaji wakubwa wa mali ya Watanzania, nikatiba hii hii iliyotujengea mfumo mbaya wakikolon kati yetu sisi kwasisi hvyo matajiri wachache na mafisadi ndan na nje ya Taifa hili wapo tayari kumwaga damu zetu ili mradi tu katiba mpya iwe namatakwa yao. Mim napenda kuwakumbusha watanzania waislam kwa wa Kiristo, wapagani na wasiokuwa wapagani, wanaume kwa wanawake, vijana kwa watoto kila mtu kwa imani yake kumuita Mungu akasimamie katiba mpya. Maana either utaamin au laa katiba mpya itakuja na majibu ya miaka mia ijayo ya taifa hili. Nijukumu langu nalako kusimamia amani na utuluvu ktk wakati wautungaji katiba mpya. Tukumbuke yakuwa pindi tukipata katiba imara na yenye nguvu basi mwisho wa umungu watu ktk Taifa letu utaisha. Tegemea kuona viongozi,marais,mawaziri namahakimu bila sahau matajiri wote watasimama ktk mahakama kujibu shutuma zinawahusu. Naona taifa jipya lenye muongozo mpya! Mungu ibariki Tanzania Mungu wabariki watanzania wote! Amen.
   
Loading...