Katiba mpya na malipo ya uzeeni - TUCTA mpo | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Katiba mpya na malipo ya uzeeni - TUCTA mpo

Discussion in 'KATIBA Mpya' started by Wa Mjengoni, Jan 30, 2011.

 1. Wa Mjengoni

  Wa Mjengoni JF-Expert Member

  #1
  Jan 30, 2011
  Joined: May 4, 2010
  Messages: 482
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 35
  TUCTA tusaidieni hili liwekwe wazi kwenye katiba mpya kwa faida ya sasa na hata miaka hamsini ijayo.
  Jambo lenyewe linahusu kwamba fedha tunazochangia kwenye mifuko mbalimbali ya akiba kwa kuwa haziwekewi riba (na kama ipo ni ndogo sana) basi michango hii iwe inapokelewa na mifuko hiyo ikiwa tayari converted in USD na mara utakapoacha kazi au kustaafu na wewe ulipwe in USD. Nasema hivi kwa sababu shilingi yetu inaporomoka kila mwaka katika kasi ya ajabu, sasa hii inakula kwa mfanyakazi, malipo say yanayoweza kununua gari la biashara mwaka huu ningestaafu au kuacha kazi, unastukia baada ya miaka kadhaa ya kuendelea kazini yanarudi na kutosha kuanzisha genge la nyanya yaani unaenda mbele kwa kurudi kinyumenyume!
  Mzee Nico Mgaya tunakuaminia kupigania maslahi yetu. TUCTA juu![​IMG]
   
 2. Babu Lao

  Babu Lao JF-Expert Member

  #2
  Jan 30, 2011
  Joined: Nov 2, 2010
  Messages: 2,056
  Likes Received: 9
  Trophy Points: 135
  :clap2: Hapo kuna hoja ya msingi sana!!
   
Loading...