Mtazamaji
JF-Expert Member
- Feb 29, 2008
- 5,937
- 1,437
wataalam wa mahusiano naleta mjadala huku. nadhani ni mahali pake.
Je katika katiba mpya ni vipengele ngapi viiongezwa ,viongelewe, viweje..............
Napendekeza katika katiba:-
Teh Teh Teh nawasilisha kwa mjadala
Je katika katiba mpya ni vipengele ngapi viiongezwa ,viongelewe, viweje..............
Napendekeza katika katiba:-
- zitambuliwe aina na level za mahusiano ya kimapenzi kisheria. kama Gf/Bf,partner fiancee,Wife/Husband. ielezwe mipaka katika haya mahusiano, haki na wajibu wa wahusika. Kiwepo chombo cha kuadikisha na kuratibu mahusiano haya
- Kwa sababu watoto wa karne hii dot com wanapevuka mapema katiba itamke kuanzia miaka 14 mtu yeyote ana haki ya ku "ngoneka" na "kuhusiana" bila woga
- Katiba itambue mapenzi ya jinsia moja (lesbian/gay)na mambo ya sex orientatiion . Ingawa Siuingi mkono lakini naleta kwa mjadala
Teh Teh Teh nawasilisha kwa mjadala