Katiba mpya na mahusiano

Mtazamaji

JF-Expert Member
Feb 29, 2008
5,940
0
wataalam wa mahusiano naleta mjadala huku. nadhani ni mahali pake.

Je katika katiba mpya ni vipengele ngapi viiongezwa ,viongelewe, viweje..............

Napendekeza katika katiba:-

  • zitambuliwe aina na level za mahusiano ya kimapenzi kisheria. kama Gf/Bf,partner fiancee,Wife/Husband. ielezwe mipaka katika haya mahusiano, haki na wajibu wa wahusika. Kiwepo chombo cha kuadikisha na kuratibu mahusiano haya

  • Kwa sababu watoto wa karne hii dot com wanapevuka mapema katiba itamke kuanzia miaka 14 mtu yeyote ana haki ya ku "ngoneka" na "kuhusiana" bila woga

  • Katiba itambue mapenzi ya jinsia moja (lesbian/gay)na mambo ya sex orientatiion . Ingawa Siuingi mkono lakini naleta kwa mjadala
Je kwenye katiba mpya unataka uone vipingele gani as far as relationship is concerned?????

Teh Teh Teh nawasilisha kwa mjadala
 
Gaijin

JF-Expert Member
Aug 21, 2007
11,817
0
While you are looking for controversy add abortion rights as well
 
Mtazamaji

JF-Expert Member
Feb 29, 2008
5,940
0
While you are looking for controversy add abortion rights as well

Gaijin
in addition to abbortion u ve reminded me of maternity leave for men. kwenye katiba mppya itakuwa vizuri wanaume tupewe atleast 50% au 25% ya mternity leave anayopata mwanamke.
 
Nyani Ngabu

Platinum Member
May 15, 2006
89,983
2,000
I want to see pre-nup adequately and thoroughly addressed...

And to hell with alimony...

'Crime of passion' should be a valid defense in 'infidelity' related assault and murder cases and if the perpetrator is found guilty only probation and/ or community service should be the penalty. No incarceration.
 
Nanren

JF-Expert Member
May 11, 2009
1,919
2,000
Si kila kitu kinaainishwa kwenye katiba (Constitution) ya nchi. Kumbuka Katiba ni sheria mama. Mambo mengine yanakuwa yameainishwa kwenye ACTS mbali mbali.
 
Buchanan

JF-Expert Member
May 19, 2009
13,200
2,000
wataalam wa mahusiano naleta mjadala huku. nadhani ni mahali pake.

Je katika katiba mpya ni vipengele ngapi viiongezwa ,viongelewe, viweje..............

Napendekeza katika katiba:-

  • zitambuliwe aina na level za mahusiano ya kimapenzi kisheria. kama Gf/Bf,partner fiancee,Wife/Husband. ielezwe mipaka katika haya mahusiano, haki na wajibu wa wahusika. Kiwepo chombo cha kuadikisha na kuratibu mahusiano haya

  • Kwa sababu watoto wa karne hii dot com wanapevuka mapema katiba itamke kuanzia miaka 14 mtu yeyote ana haki ya ku "ngoneka" na "kuhusiana" bila woga

  • Katiba itambue mapenzi ya jinsia moja (lesbian/gay)na mambo ya sex orientatiion . Ingawa Siuingi mkono lakini naleta kwa mjadala
Je kwenye katiba mpya unataka uone vipingele gani as far as relationship is concerned?????

Teh Teh Teh nawasilisha kwa mjadala

Whaaaaaaaaaaaaaaaat? Mambo ya udaku yaingizwe kwenye Katiba?
 
Mtazamaji

JF-Expert Member
Feb 29, 2008
5,940
0
I want to see pre-nup adequately and thoroughly addressed...

And to hell with alimony...

'Crime of passion' should be a valid defense in 'infidelity' related assault and murder cases and if the perpetrator is found guilty only probation and/ or community service should be the penalty. No incarceration.
Thanks mkuu ubeside u nice point u made me refer to a dictionary and expand my vocabulary list

Kwa wale wenzangu na mie
[Cf. F. incarcération.]

1. The act of confining, or the state of being confined; imprisonment. Glanvill.

Police officers and other law enforcement officers are authorized by federal, state, and local lawmakers to arrest and confine persons suspected of crimes. The judicial system is authorized to confine persons convicted of crimes. This confinement, whether before or after a criminal conviction, is called incarceration. Juveniles and adults alike are subject to incarceration. kwa maelezo zaidi nenda online dictinary incarceration: West's Encyclopedia of American Law (Full Article) from Answers.com

perpetrator =One who perpetrates; esp., one who commits an offense or crime.

perpetrator: West's Encyclopedia of American Law (Full Article) from Answers.com
Si kila kitu kinaainishwa kwenye katiba (Constitution) ya nchi. Kumbuka Katiba ni sheria mama. Mambo mengine yanakuwa yameainishwa kwenye ACTS mbali mbali.

Sasa hizo acts si lazima zwe consistent na katiba mpendwa. Ndio maana wataalam wanasme kuna viraka vingi. mpka viraka vinapingana na katiba mama au katiba mama inapingana na viraka/acts

Any way hat hizo acts ambazo zinatakiwa kurekebishwa tueleweshe basi.
 
Gaijin

JF-Expert Member
Aug 21, 2007
11,817
0
Word@ to hell with alimony

It should be clearly stated for how long married partners can be living apart before their marriage is dissolved naturally by law

( I think now it states only for how long people living together are considered married by law without undergoing a marriage contract)

*nampigia chapuo boss Slaa
 
Teh Teh
So t 4 how long should married couples live apart before being considered naturally divorced.
 
Mtazamaji

JF-Expert Member
Feb 29, 2008
5,940
0
Hayo mambo ya mipaka ya bf/gf, etc!

Kwani hakuwezi kuwa na sheria iyotofautisha na kuwatambua mke/mke na partners. au unapeda sheria ziendelee ku hang kuwaacha mahakimu uhuru wa kutumia busara zao na sio sheria

Anyway nimekusoma mtaalam lakini tukubali kutofautiana. Vp ile issue ya video n picha mahakamani
 
Gaijin

JF-Expert Member
Aug 21, 2007
11,817
0
Teh Teh
So t 4 how long should married couples live apart before being considered naturally divorced.

What about two years either way?

You live together for two years you are considered married, you live apart for two years you are considered divorced ....:))
 
RR

JF-Expert Member
Mar 17, 2007
6,917
2,000
What about two years either way?

You live together for two years you are considered married, you live apart for two years you are considered divorced ....:))

Mwalimu Gaijin utanifanya nifute mipango yangu ya kwenda kuongeza ujuzi ujue!!!!:madgrin:
 
Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom