Bondpost
JF-Expert Member
- Oct 16, 2011
- 6,601
- 9,341
Ofcoz, wasomi waliokuwa wanaunga mkono chadema wameona either wakae pembeni au waingie CCM tu.Nashukuru kwa kuongeza nyama mkuu, lkn wasomi wengi kina Mabere Marando, prof Safari nk wameshakikimbia chama na waliobaki wameamua kukaa kando, baada ya kugundua kwamba viongozi wa juu kitaifa wameanza kuwatumia vijana walevi, wavuta bangi na vibaka kujenga hoja mfu mitandaoni na kukitetea chama kwa style ya matusi.
Unakaa unapoteza muda kuwashauri Ila wataishia kukutukana sana na kukukosea heshima. Hakina mtu mwenye akili atakubali upuuzi wa namna hiyo.
Mbowe ameshauriwa awaonye vijana wake na ajitahidi kutafuta seminar za uongozi kwa vijana wake, itawajenga kwa sababu heshima haiuzwi na ukiwa na heshima na staha jamii itakuona tu na utaheshimika. Ila kwa Hawa wanaorusha matusi humu aisee inakatisha tamaa sana better ukae pembeni usubiri uteuzi wako uchume chako ule na wanao Hawa wanywa double kick waendelee kupagawa.