Katiba Mpya: Mimi ni CHADEMA lakini kwa hili nasema NO, tena Big No

πŸ™ŒπŸΎπŸ™ŒπŸΎπŸ™ŒπŸΎπŸ™ŒπŸΎπŸ™ŒπŸΎπŸ™ŒπŸΎπŸ™ŒπŸΎπŸ™ŒπŸΎπŸ™ŒπŸΎπŸ™ŒπŸΎπŸ™ŒπŸΎπŸ‘πŸ½

Huwezi kuwa chadema wewe mpumbavu na dhuluma ya uchaguzi wa Mwaka Jana ukiongea mambo ya ki mat*ko hapa wakati watu wameumia! Sitaki kukutukana!

Kaa huko CCM na akili za kipumbabu!

Bahati mbaya sana humu tunatumia fake ids.mwaka jana nilisimamia uchaguzi kiukweli kilichotokea ni ujinga yaani haukuwa uchaguzi ule japo chadema nao walifanya uzembe kiasi fulani.mkuu tuwe na tabia ya kukubali kutofautiana.nimekushangaa mtu kama wewe unareply comment ya mtu aliyetoa matusi badala ya hoja.huyo jamaa mimi nimempuuzia wala sijajibu coment yake hata moja ila wewe umemshangilia halafu sisi ndio makamanda wa jf dahbado sana hii safari Maana hakuna tofauti ya lumumba na bavicha
 
Kwa katiba tulionayo hata CCM wenyewe ukiachana na CCM maslahi nao wanataka katiba mpya yenye serekali 3 Zanzibar iwe na serekali yao inayoongozwa na wazanzibar wenyewe, kuwepo na serekali ya Tanganyika itakayokuwa inaongozwa na watanganyika wenyewe na kuwepo na serekali ndogo ya muungano itakayokuwa inaongozwa kwa kushirikiana pande zote mbili Zanzibar ama Tanganyika.

Lakini kwa katiba hii tukubali kuwa kwa sasa hivi wataganyika tutakuwa bench kwa muda usiyojulikana,hatamu ya uongozi iko kwa wazanzibar pande zote mbili visiwani na bara na hata wakiamua kufuata mfumo wa Magufuli wa nyumbani kwanza,hakuna atakayepinga na mambo yote ya wazanzibar yatafanywa na kodi ya watanganyika lakini yatakuwa ni kwa manufaa ya wazanzibar na si watanganyika.
 
Kuna uzi ulianzisha ukisema hautapiga kura tena mpaka unaingia kaburini sasa CHADEMA unaifuatilia ya nini wakati hata kura hupigi ?
 
Kumbe hata rasimu ya pili ya Warioba ilikuwa haifai.

Swala la mbunge kuhama chama na ubunge wake halifai. Hiyo rasimu ingepita nadhani kipindi kile cha hamahama cha wabunge wangeweza kuhama bila hata kununuliwa kwa bei kubwa, wangepozwa kwa hela kidogo tu ya mboga na kuhama chama.

So binafsi hiyo rasimu ya Warioba ilikuwa haifai pia, japo CHADEMA walisusia mchakato kwa hoja dhaifu ila kumbe subconciously walifanya la maana sana. Mambo gani ya mtu kuhama chama anahama na ubunge wake? Huko ni kuwasaliti wananchi. Wananchi walimpa ubunge kutokana na sera za chama chake hivyo anapohama chama anaenda kinyume na makubaliano ya wapiga kura wake.
Rasimu ya Warioba ilikuwa na mapungufu mengi tu. Hata hilo la serikali 3 huyo mzee alilichomekea tu.
 
Katiba ni hitaji la wananchi wote wa Tanzania kwa sasa isipokuwa wewe ambaye ni juvenile siku ukiwa senior davis utaelewa
 
Bahati mbaya sana humu tunatumia fake ids.mwaka jana nilisimamia uchaguzi kiukweli kilichotokea ni ujinga yaani haukuwa uchaguzi ule japo chadema nao walifanya uzembe kiasi fulani.mkuu tuwe na tabia ya kukubali kutofautiana.nimekushangaa mtu kama wewe unareply comment ya mtu aliyetoa matusi badala ya hoja.huyo jamaa mimi nimempuuzia wala sijajibu coment yake hata moja ila wewe umemshangilia halafu sisi ndio makamanda wa jf dahbado sana hii safari Maana hakuna tofauti ya lumumba na bavicha

Hivi una hoja ya kujibiwa? Hivi Mfano Kabudi aliyekuwa kwenye tume ya warioba, Jana katoa hoja? Hiyo hoja yake unaijibuje?
 
Nilichokuja kugundua Hawa watu lugha zao ni matusi tu. Hakuna anayeweza kufikiri hata Jambo kwa undanikidogo na kusema hili ni sahihi.

Namna hii hakuna chama hapo ni kupotezeana muda tu.
Kama mwenyekiti wa chadema na team yake wangewekeza nguvu zao kwa wasomi na watu makini basi chama chao kingekuwa kishachukua dola kitambo sana. Lakini mwenyekiti sijui kwa bahati mbaya, au kwa makusudi kabisa ili aweze kupata watu wa kuwatawala vizur kufikra na kiakili amewekeza nguvu zake kwa mateja, wanywa gongo, vibaka na makabwela wasiojua ruzuku ya chama inaingia vipi, inaliwa vipi, na nani na wakati gani. Hii imesababisha mwenyekiti akifanye chama kama kampuni yake ya kuchotea pesa, na kufanya atakavyo bila wanachama wake kugundua.
 
Habari za usiku wanajukwaa. Ni muda mrefu sijachangia chochpte humu wala kuweka bandiko lolote humu zaidi tu ya kusoma mawazo yenu.

Naomba nieleweke kwamba mimi ni mfuasi mtiifu wa chadema na nitaendelea kukitii siku zote.na niweke wazi kwamba sijawahi kukihujumu chama wala sifikirii kufanya hivyo. Nije kwenye mada sasa. CHADEMA tunataka katiba mpya lakini kiukweli suala la katiba mpya haliwezekani.

Kwanini nasema haliwezekani? Kwasababu wakati wa kuitengeneza Rasimu ya pili ya warioba 2014 ili iwe the proposed constitution hawahawa viongozi wetu walikuwa ni wajumbe pale bungeni lakini walishindwa kuendelea kukaa pale bungeni na wenzao wengine kwa sababu tu ya suala la serikali mbili na serikali tatu. Wakabishana weeee hadi kufikia kuiambia serikali ilete hati ya muungano.

Ukiangalia hilo suala la muungano halikuwa na athari yoyote lakini wao wakasusa na kukimbia pale bungeni wakiongozwa na lipumba ambaye leo wanamuona sio mpinzani.ndani ya ile rasimu kuna mambo mengi ya muhimu sana wangeweza kuyapambania ambayo kama wangesusa kwa sababu ya hayo tungewaona ni mashujaa.

Mfano suala la Wabunge kuongoza miaka 10. Waziri na spika kutokuwa wabunge, matokeo ya raisi, wabunge na madiwani kuhojiwa mahakamani, tume huru ya uchaguzi, Mamlaka ya Rais kupunguzwa, mgombea binafsi, mbunge anapofariki basi aliyeshika nafasi ya pili wakati wa uchaguzi basi anakuwa mbunge na wananchi kuwawajibisha wabunge wavivu, mbunge akihama chama basi anahama na ubunge wake na sio mambo ya by election. Mengine nadhani kama ulibahatisha kuyaona kama ulisoma ile draft.

Sasa, ukiangalia kilichowafanya wakasusa ni kitu kidogo na kisicho na maana yoyote ile kwa wananchi.

Binafsi nahisi Rais Samia ameshagundua kwamba hata akisema mchakato urudi upya mambo yatakuwa ni yaleyale business as usual. Yaani CCM watataka serikali mbili huku CHADEMA wakitaka serikali tatu na mwisho hawataelewana na mchakato utakwama tena na hivyo kodi za wananchi zitakwenda bure Maana kumbuka walikuwa wanakula posho daily Tsh laki 3. Hivyo Rais sidhani kama atakubali huu mchakato urudiwe maana mambo yatajirudia ni yaleyale tu. Itakuwa ni uharibifu wa fedha..ni vizuri wang’ang’anie tu hii iliyopo ifanyiwe amendments baadhi ya vipengele lakini suala la katiba mpya hilo I’m sure halitafanikiwa.

Kitu kingine wanachohitaji viongozi wetu ni political rallies kuruhusiwa ni kweli hilo sio hisani bali ni takwa la kikatiba iliyopo lakini kuhusu hilo nadhani mheshimiwa Rais ashalitolea ufafanuzi tayari.kwamba tusubiri kwanza ajenge uchumi wawekezaji waje wakute nchi ikiwa tulivu haina labshalabsha zozote ndipo turudi majukwaani (angalau huyu katoa sababu zenye mashiko kidogo kuliko mwendazake).

Maana usisubiri hadi Raisi aongee direct kwamba β€œjamani utawala ulopita nilikuwa nikimshauri hiki na kile mwenzangu hakuwa akinisikiliza ndio Maana uchumi umeyumba”kwa sababu hakuna asiyejua kwamba Mzee alikuwa hashauriki.sasa Mama hawezi kuanza kumkandia na kuanza kujitetea.

Mimi nadhani tuwe watulivu tukisubiri huo uchumi unaojengwa then tukiona labda miaka miwili au mmoja unakata tunaweza kurudi kumkumbusha.lakini kwa style kama ya kuwapa vipaza watu kama mdude halafu kwa kauli kama zile kiukweli haipendezi na mwisho tutampa hasira Raisi asije akawa kama mwendazake tuanze kubambikiwa makesi na kufurushwa hata kwenye mikutano ya ndani.

Chadema chama langu waelewe tu upinzani upo ndani ya damu. Kumbuka Magufuli alipiga ban mikutano na kufunga wanasiasa na kununua wabunge na madiwani ila ilipofika wakati wa uchaguzi bado alisumbuka sana kuona nyomi la Chadema mwisho akapora uchaguzi kwa nguvu(nilisimamia uchaguzi so niliona ujinga uliofanyika) niwatakie siku njema na niwaase mfanye kazi kwa bidii na kama wewe ni mwanafunzi basi soma kwa bidiii.na msisahau kumuabudu mwenyezi Mungu.
Heri chadema wewe unasema ukweli kiasi. Ila nikuulize eti ulisimamia uchaguzi uliona nini mbona huelezi kinaga ubaga. Ndio ile mumeshindwa vibaya kila mahali halafu mnajidai mumeibiwa kura..eti nyie ndio mlishinda πŸ˜‚πŸ˜‚
 
Kama mwenyekiti wa chadema na team yake wangewekeza nguvu zao kwa wasomi na watu makini basi chama chao kingekuwa kishachukua dola kitambo sana. Lakini mwenyekiti sijui kwa bahati mbaya, au kwa makusudi kabisa ili aweze kupata watu wa kuwatawala vizur kufikra na kiakili amewekeza nguvu zake kwa mateja, wanywa gongo, vibaka na makabwela wasiojua ruzuku ya chama inaingia vipi, inaliwa vipi, na nani na wakati gani. Hii imesababisha mwenyekiti akifanye chama kama kampuni yake ya kuchotea pesa, na kufanya atakavyo bila wanachama wake kugundua.
I beg to differ kidogo, CHADEMA wamewekeza kwa wasomi Ila wale ambao ni less privileged Wana hasira kama mama mjamzito aliyeachwa na mume.

Vijana fulani 18-30 wapo hapo na hao wanahussle na maisha so hawajui namna ya kutafuta fursa kwa kutumia akili na sio mihemko.

Sisi wakati tunamaliza chuo na akina John Mrema na Mnyika na wengine akina Msando na Zitto vijana walikuwa na critical thinking yani ilikuwa wakisimama Nkrumah Hall enzi Ile Mzee Mkapa alikuwa anapenda kuja kuongea na wanafunzi wa chuo kikuu, walikuwa wanampa challenges mpaka Rais anatoka jasho kwa maswali na mawazo yaliyoshiba tena kwa staha sio matusi tu. Pale ilikuwa akitaka kuja anajipanga haswa maana alikuwa anakuwa challenged zile strategy zake za kiuchumi watu walikuwa wanampa challenges na inafika wakati anakubali kubadili strategy Ila angalia vijana wa sasa wanaishia kutukana na hakuna hoja. Yani hoja ni matusi.

Wakiwatumia vizuri Hawa ndio wenye ushawishi mkubwa sana kwakuwa ndio nguvu kazi ya taifa. Ila vijana wa kundi hili wamejikuta wanaishia kutukana kila mtu anayeshauri wafanyaje ili wapate public support kwa siasa zao.

Haiingii akilini mtu mzima umekaa unawapa ushauri unashangaa kijana anatukana tu, halafu umetoa mawazo mazuri tu ambayo angeweza sio lazima kuyakubali lakini akashukuru kwa ushauri, but utashangaa lundo la matusi tu.

Kwa namna hiyo, hakuna middle class atakayeona hiki ni chama madhubuti, hii iliwakuta NCCR maana ndio walikuwa chama kikubwa zaidi Ila Leo kinaelekea kufa.

Isingekuwa mlengo wa siasa flani za Zitto ACT wangekuwa juu sana kwa sasa na ingekuwa ndio mwisho wa CHADEMA.

Ila waendelee kutukana hata ambao sio CCM tutaona tu.
 
Habari za lumumba?
Habari za usiku wanajukwaa. Ni muda mrefu sijachangia chochpte humu wala kuweka bandiko lolote humu zaidi tu ya kusoma mawazo yenu.

Naomba nieleweke kwamba mimi ni mfuasi mtiifu wa chadema na nitaendelea kukitii siku zote.na niweke wazi kwamba sijawahi kukihujumu chama wala sifikirii kufanya hivyo. Nije kwenye mada sasa. CHADEMA tunataka katiba mpya lakini kiukweli suala la katiba mpya haliwezekani.

Kwanini nasema haliwezekani? Kwasababu wakati wa kuitengeneza Rasimu ya pili ya warioba 2014 ili iwe the proposed constitution hawahawa viongozi wetu walikuwa ni wajumbe pale bungeni lakini walishindwa kuendelea kukaa pale bungeni na wenzao wengine kwa sababu tu ya suala la serikali mbili na serikali tatu. Wakabishana weeee hadi kufikia kuiambia serikali ilete hati ya muungano.

Ukiangalia hilo suala la muungano halikuwa na athari yoyote lakini wao wakasusa na kukimbia pale bungeni wakiongozwa na lipumba ambaye leo wanamuona sio mpinzani.ndani ya ile rasimu kuna mambo mengi ya muhimu sana wangeweza kuyapambania ambayo kama wangesusa kwa sababu ya hayo tungewaona ni mashujaa.

Mfano suala la Wabunge kuongoza miaka 10. Waziri na spika kutokuwa wabunge, matokeo ya raisi, wabunge na madiwani kuhojiwa mahakamani, tume huru ya uchaguzi, Mamlaka ya Rais kupunguzwa, mgombea binafsi, mbunge anapofariki basi aliyeshika nafasi ya pili wakati wa uchaguzi basi anakuwa mbunge na wananchi kuwawajibisha wabunge wavivu, mbunge akihama chama basi anahama na ubunge wake na sio mambo ya by election. Mengine nadhani kama ulibahatisha kuyaona kama ulisoma ile draft.

Sasa, ukiangalia kilichowafanya wakasusa ni kitu kidogo na kisicho na maana yoyote ile kwa wananchi.

Binafsi nahisi Rais Samia ameshagundua kwamba hata akisema mchakato urudi upya mambo yatakuwa ni yaleyale business as usual. Yaani CCM watataka serikali mbili huku CHADEMA wakitaka serikali tatu na mwisho hawataelewana na mchakato utakwama tena na hivyo kodi za wananchi zitakwenda bure Maana kumbuka walikuwa wanakula posho daily Tsh laki 3. Hivyo Rais sidhani kama atakubali huu mchakato urudiwe maana mambo yatajirudia ni yaleyale tu. Itakuwa ni uharibifu wa fedha..ni vizuri wang’ang’anie tu hii iliyopo ifanyiwe amendments baadhi ya vipengele lakini suala la katiba mpya hilo I’m sure halitafanikiwa.

Kitu kingine wanachohitaji viongozi wetu ni political rallies kuruhusiwa ni kweli hilo sio hisani bali ni takwa la kikatiba iliyopo lakini kuhusu hilo nadhani mheshimiwa Rais ashalitolea ufafanuzi tayari.kwamba tusubiri kwanza ajenge uchumi wawekezaji waje wakute nchi ikiwa tulivu haina labshalabsha zozote ndipo turudi majukwaani (angalau huyu katoa sababu zenye mashiko kidogo kuliko mwendazake).

Maana usisubiri hadi Raisi aongee direct kwamba β€œjamani utawala ulopita nilikuwa nikimshauri hiki na kile mwenzangu hakuwa akinisikiliza ndio Maana uchumi umeyumba”kwa sababu hakuna asiyejua kwamba Mzee alikuwa hashauriki.sasa Mama hawezi kuanza kumkandia na kuanza kujitetea.

Mimi nadhani tuwe watulivu tukisubiri huo uchumi unaojengwa then tukiona labda miaka miwili au mmoja unakata tunaweza kurudi kumkumbusha.lakini kwa style kama ya kuwapa vipaza watu kama mdude halafu kwa kauli kama zile kiukweli haipendezi na mwisho tutampa hasira Raisi asije akawa kama mwendazake tuanze kubambikiwa makesi na kufurushwa hata kwenye mikutano ya ndani.

Chadema chama langu waelewe tu upinzani upo ndani ya damu. Kumbuka Magufuli alipiga ban mikutano na kufunga wanasiasa na kununua wabunge na madiwani ila ilipofika wakati wa uchaguzi bado alisumbuka sana kuona nyomi la Chadema mwisho akapora uchaguzi kwa nguvu(nilisimamia uchaguzi so niliona ujinga uliofanyika) niwatakie siku njema na niwaase mfanye kazi kwa bidii na kama wewe ni mwanafunzi basi soma kwa bidiii.na msisahau kumuabudu mwenyezi Mungu.
Habari za Lumumba?
Hawajambo?
Uliona njia ya mkato ni kujidanganya uko ule upande!!
 
I beg to differ kidogo, CHADEMA wamewekeza kwa wasomi Ila wale ambao ni less privileged Wana hasira kama mama mjamzito aliyeachwa na mume.

Vijana fulani 18-30 wapo hapo na hao wanahussle na maisha so hawajui namna ya kutafuta fursa kwa kutumia akili na sio mihemko.

Sisi wakati tunamaliza chuo na akina John Mrema na Mnyika na wengine akina Msando na Zitto vijana walikuwa na critical thinking yani ilikuwa wakisimama Nkrumah Hall enzi Ile Mzee Mkapa alikuwa anapenda kuja kuongea na wanafunzi wa chuo kikuu, walikuwa wanampa challenges mpaka Rais anatoka jasho kwa maswali na mawazo yaliyoshiba tena kwa staha sio matusi tu. Pale ilikuwa akitaka kuja anajipanga haswa maana alikuwa anakuwa challenged zile strategy zake za kiuchumi watu walikuwa wanampa challenges na inafika wakati anakubali kubadili strategy Ila angalia vijana wa sasa wanaishia kutukana na hakuna hoja. Yani hoja ni matusi.

Wakiwatumia vizuri Hawa ndio wenye ushawishi mkubwa sana kwakuwa ndio nguvu kazi ya taifa. Ila vijana wa kundi hili wamejikuta wanaishia kutukana kila mtu anayeshauri wafanyaje ili wapate public support kwa siasa zao.

Haiingii akilini mtu mzima umekaa unawapa ushauri unashangaa kijana anatukana tu, halafu umetoa mawazo mazuri tu ambayo angeweza sio lazima kuyakubali lakini akashukuru kwa ushauri, but utashangaa lundo la matusi tu.

Kwa namna hiyo, hakuna middle class atakayeona hiki ni chama madhubuti, hii iliwakuta NCCR maana ndio walikuwa chama kikubwa zaidi Ila Leo kinaelekea kufa.

Isingekuwa mlengo wa siasa flani za Zitto ACT wangekuwa juu sana kwa sasa na ingekuwa ndio mwisho wa CHADEMA.

Ila waendelee kutukana hata ambao sio CCM tutaona tu.
Nashukuru kwa kuongeza nyama mkuu, lkn wasomi wengi kina Mabere Marando, prof Safari nk wameshakikimbia chama na waliobaki wameamua kukaa kando, baada ya kugundua kwamba viongozi wa juu kitaifa wameanza kuwatumia vijana walevi, wavuta bangi na vibaka kujenga hoja mfu mitandaoni na kukitetea chama kwa style ya matusi.
 
Back
Top Bottom