Katiba mpya kuzinduliwa Aprili 26, 2014 -- Waziri Mkuu | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Katiba mpya kuzinduliwa Aprili 26, 2014 -- Waziri Mkuu

Discussion in 'Jukwaa la Siasa' started by Fareed, Jun 25, 2011.

 1. F

  Fareed JF-Expert Member

  #1
  Jun 25, 2011
  Joined: Apr 13, 2010
  Messages: 328
  Likes Received: 12
  Trophy Points: 0
  Haya, serikali sasa imejicommit na kutaja tarehe rasmi ya kuzinduliwa kwa katiba mpya -- Aprili 26, 2014. Kazi kwetu kuchangamkia mchakato wa katiba na kuweka mambo sawa ili uchaguzi mkuu wa 2015 ulete uhuru kamili kwa Tanzania!

   
 2. Kombo

  Kombo JF-Expert Member

  #2
  Jun 25, 2011
  Joined: Oct 29, 2010
  Messages: 1,819
  Likes Received: 12
  Trophy Points: 0
  Tunasubiri utaratibu wa kueleweka wa namna maoni yetu yatakavyokusanywa, wakituwekea wakusanya maoni wachakachuaji mchakato mzima hautokuwa na maana.
   
 3. T

  The Informer Senior Member

  #3
  Jun 25, 2011
  Joined: Jun 14, 2010
  Messages: 119
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Huu ni usanii tu. Serikali inaogopa maandamano ya CHADEMA. Wametangaza tarehe ya kuzinduliwa katiba mpya ili CHADEMA watulie wasitishe maandamano ya kudai katiba mpya kuanzia sasa 2011 mpaka 2014 ili CCM itawale kwa amani na JK aendelee kutalii ulaya na safari zake za ulaya kila siku.

  By the time inafika April 2014 katiba ikiwa bado ni rahisi kwa serikali kuwadhibiti CHADEMA kwa mwaka mmoja mpaka uchaguzi wa 2015. Hii staili ya kujata tarehe ni danganya toto ili kuleta matumaini hewa wananchi watulie wasidai katiba mpya. Kikwete alisema tangu Desemba 2010 ataunda tume ya maoni ya katiba mpya. Mpaka leo amekaa kimya.
   
 4. M

  Mbopo JF-Expert Member

  #4
  Jun 25, 2011
  Joined: Jan 29, 2008
  Messages: 2,532
  Likes Received: 8
  Trophy Points: 0
  Hivi kwa nini usiwe na subira kuliko kuwa na mashaka hata pasipostahili? Katiba hii itakuja kwa utashi wa wananchi wote na siyo shinikizo la Chadema kama wewe unavyodhani.
   
 5. Mzee Mwanakijiji

  Mzee Mwanakijiji Platinum Member

  #5
  Jun 25, 2011
  Joined: Mar 10, 2006
  Messages: 31,362
  Likes Received: 6,393
  Trophy Points: 280
  Tunachotaka ni kuwa uchaguzi mkuu ujao uwe chini ya katiba mpya.
   
 6. BAK

  BAK JF-Expert Member

  #6
  Jun 25, 2011
  Joined: Feb 11, 2007
  Messages: 70,739
  Likes Received: 82,676
  Trophy Points: 280
  Mkuu bila kuwashinikiza hawa chama cha magamba wanaweza kabisa kufanya usanii ili uchaguzi ujao ufanyike kwa kutumia hii katiba ambayo imepitwa na wakati. Wanaweza kuongea upupu wowote ule kama ukosefu wa pesa n.k. kama ndio sababu ya kushindwa kuwa na katiba mpya kabla ya uchaguzi wa 2015
   
 7. Zing

  Zing JF-Expert Member

  #7
  Jun 25, 2011
  Joined: Jun 24, 2009
  Messages: 1,780
  Likes Received: 21
  Trophy Points: 0
  Je kati ya sasa na huo mwaka 2014 nini na htua gani zitafanyika?

  Watoe complete plan yenye ratiba na milestones zinazoeleweka na zinazopimika. Sio ije ifike huo mwaka 2014 ipigwe danadana.

  Mpaka sasa wanachi wengi hawajui nafasi yao na jinsi gani wanataiwa kushiriki kuchangia na kutoa maoni yao katika hii kitu
   
 8. notmar

  notmar Member

  #8
  Jun 26, 2011
  Joined: Jun 4, 2011
  Messages: 81
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 13
  pinda anamaana kuwa katiba mpya imeshaandaliwa na ccm na wataizindua rasmi tar 26.4.2014.
   
 9. C

  Che-lee JF-Expert Member

  #9
  Jun 26, 2011
  Joined: Jun 10, 2011
  Messages: 319
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Kazi nzuri hii chini ya uratibu wa TISS! Lakini kwa kizazi cha leo jibu kimeling'amua!!
  Tunahitaji katiba kuanzia sasa mpaka uchaguzi ujao itumike hiyo!
   
 10. Sanja

  Sanja JF-Expert Member

  #10
  Jun 26, 2011
  Joined: Nov 7, 2010
  Messages: 482
  Likes Received: 147
  Trophy Points: 60
  umesema vema mkuu, huu utaratibu wa kuweka malengo bila kuonyesha njia zilizo wazi katika kuyafikia ndo yanayotughalimu sasa hivi. Ebu watuwekee hiyo master plan ndo tuone mwelekeo
   
 11. Revolutionary

  Revolutionary JF-Expert Member

  #11
  Jun 26, 2011
  Joined: Jan 7, 2011
  Messages: 457
  Likes Received: 3
  Trophy Points: 35
  Tunataka tu mfumo mzuri wa uundwaji wa katiba na ushiriki wa watu, katiba si kama sheria nyingine, hakuna sehemu raisi anatia saini kwenye katiba, JK tunamuheshimu, Tanzania yetu atuachie!
   
 12. b

  bulunga JF-Expert Member

  #12
  Jun 26, 2011
  Joined: Oct 24, 2010
  Messages: 290
  Likes Received: 8
  Trophy Points: 35
  Tatizo serikali haiaminiki,
   
 13. Mzee Mwanakijiji

  Mzee Mwanakijiji Platinum Member

  #13
  Apr 23, 2014
  Joined: Mar 10, 2006
  Messages: 31,362
  Likes Received: 6,393
  Trophy Points: 280
  Tulivyo na kumbukumbu fupi...
   
 14. amkawewe

  amkawewe JF-Expert Member

  #14
  Apr 23, 2014
  Joined: Dec 9, 2011
  Messages: 2,029
  Likes Received: 11
  Trophy Points: 135
  Tayari imezinduliwa Dodoma MM.
   
Loading...